Habari wanaJF,
Nina ndugu yangu ana Laptop aina ya DELL LATITUDE D620 imepata tatizo kidogo ukiiwasha inaleta message kuwa "Memory Address line Failure 03CCF680" naomba solution ya hili tatizo.
Ndugu wana Jf, nimefungua account ya email kwenye simu yangu.
Naomba kuelekezwa namna ya kutunza namba za simu na documents mbalimbali kupitia email ili ikitokea simu nimebadilisha pindi...
Nisaidie jinsi ya kuyaondoa haya maneno ndani ya mabano. (Are you a robot) or (A'm not a robot )wakati naperuzi Tweter yasiwe yanajirudiarudia mara kwa mara.
PC yangu ilikua nzima kabisa ...ila kuna mambo madogo madogo hayakuwa poa,nikashauliwa niipige Window...
Kwenye kupuga window naona mambo kama yameharibika zaidi
Yaani inagoma...
Wenye kujua...
Wakuu habari kuna simu ya Samsung Galaxy S6 machine imesumbua nauliza nawezaje kuipata machine nikafanya replacement?
Na huwa zinauzwaje?
Asante. s6 galaxy 20A
Habr wadau, Nauza Hp Elitebook laptop bei kitonga laki na 20 ,,laptop ina Features kama 500Gb Hdd ,4gb Ram, icore 2 duo windows 7 ultimate Tatzo lake ipo slow na battery haikai na charge mpk...
Habari za usiku wana JF,
Wadau naombeni msaada juu ya tatizo hili, kwamba katika simu kila nikienda Google Playstore ili nii pakue Apps za Facebook, messenger ama Facebook Lite naambiwa kuwa...
Naomba kuuliza hili swali maana so far naona kila kampuni na kila freelancer ana bei zake kutokana na yye anavyojiona, naombeni wazoefu mnisaidie hapa, on average, typical price ya website nzuri...
Wakuu,tushirikishane mobile games bora tulizowahi kucheza...Kwa upande wangu ni DREAM LEAGUE SOCCER na TRAFFIC RIDER!#
UPDATES:kutoka post za wadau
-Gunship battle
-Public traffic
-Euro truck...
wakuu natumia 3G ya Vodacom sasa nataka nifanye mchakato wa kuhama kwenda 4G LTE.
Je kuna mabadiliko yoyote ya kasi ya mtandao nilihamia 4G?
Gharama na process zake ni zipi?
Shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.