Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu,naomba kufahamu jinsi ya kujua simu kama ni copy kwa kampuni ya samsung,maana kuna mtt anataka kuniuzia samsung j7 prime ni mpya kabisa sasa bei yake namashaka nayo isije ikawa copy
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Unawaza kuwekeza katika ujuzi wa kutengeneza program za simu, kompyuta au internet? Kama una mawazo hayo lakini una wasiwasi hilo ni pepo Fanya kulishinda .....hahahahaha...kidding guys! Lakini...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Uzi huu unaletwa kwenu na Orb Tech LLC. Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-1 Baada ya kujifunza ujuzi wa jumla wa kompyuta na uko confortable juu ya kifaa...
6 Reactions
1 Replies
1K Views
Uzi huu unaletwa kwenu na Orb Tech LLC. Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-2 Sehemu hii tutazumgumzia Web based applications. Kama tulivyoainisha hapo awali...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Salaam, Nawezaje kubadili Word document to Latex!?
0 Reactions
0 Replies
497 Views
Wakubwa naitaji kujifunza adobee Msaada wenu
0 Reactions
4 Replies
748 Views
Habari wanajukwaa, poleni na mvua hasa wananchi wa Dar es Salaam. Husika na kichwa Cha habari hapo juu mwanzo setup zangu zilikuwa zina run vizuri kama vile app ya opera mini, BlueStacks na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mtu mwenye pc games za nba 2k 2018 au 19 na fifa 2018 au 19 aje tuyajenge basi jamani,,,
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimenunua Epson L850, sasa baada ya kujaza wino wake, printer inaonyesha messsage hii: "See the setup manual to complete the initial ink charging." Hapo sasa nimedata maana nilishamaliza kujaza...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Leo saa nane na dakika tisa nimepokea ujumbe kutoka Mpesa wakiniambia ombi langu la Open FI Account limepokelewa nitapewa mrejesho Pindi akaunti husika itakapo funguliwa. Wana Jf mimi sijajiunga...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini wana JF, naomba kuwasikisha swali kuhusu simu janja kwanini smartphone(s) baadhi zinasapot OTG cable na ina maana gani na kwa nini simu nyingine inagoma na, Je OTG cable ni nini na je...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari za wakat huu wakuu kama mada inavojielea.. Mimi nina tukio linalohitaji kuwatumia sms wengi sms mara kwa mara kwa iyo naomba kujua ni namna gani naweza kutuma sms ya kawaida kwa watu wengi...
0 Reactions
15 Replies
10K Views
Wataalamu nini maana ya haya maneno Customery Blocked By FRP na namna ya ku solve hilo tatizo kcamp CHIEF MKWAWA agudev
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu,simu yangu ya samsung j7 neo baada ya kuupdate software touch haifanyi kazi,naomba ushauri nifanye nini irudi kama zamani?
0 Reactions
7 Replies
879 Views
Wakuu kuna hii TV jamaa anataka aniuzie Phillips 26 HF7875/10 Ubora wake ukoje
0 Reactions
4 Replies
714 Views
Ninatumia simu ya samsung Sijui imepatwa na kifafa hii simu yaani kila siku kuanzia saa 3-5 asubuhi inakuwa inazima then inawaka inazima inawaka Itachukua hata lisaa kuzima na kuwaka tu then...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shule ya serikali maalum kwa kuandaa ma IT wadogo Kwanza kabisa niwapongeza Rwanda kwa juhudi wanazofanya kuhakikisha wanawaza kupiga msamba na sio kupiga hatua katika ishu ya maendeleo. Hua...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau naombeni mnisaidie jinsi ya kujiunga na crdb simbankig kwa njia ya simu
0 Reactions
18 Replies
12K Views
Back
Top Bottom