Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Guys nilikuwa naomba mnisaidie jinsi ya kulihack game la gangstar Vegas la android nimeangaika nalo mpka nimechoka please naombeni mnipe njia ya kupata coins na gold
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za humu jamani,ninaomna kwa aliye na account katika moja ya site za freelancing katika maswala ya app development or other stuffs kama hizo anipm maana nimejaribu kucreate account katika...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
niaje wazeeee kama kichwa kinavyosema hii software ambayo binafsi naitumia inasaidia kubalance matumizi yako ya MB data pale unapokuwa online. software hii imegawanyika katika sehemu nne ambazo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nataka kununua Tv, inchi 43 isiwe SMART tv kampuni ya LG, je ni vitu gani vya ziada vya kuzingatia, je ntakuaje tv original ya kampuni ya LG Msaada wenu
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Niaje wakuu..nimeona nije na hii topic ila ni mawazo yangu kama una lakuongeza karibu au nimekosea mahali tuambiane.. Kwa kawaida kibongo bongo bloggers wengi tunategemea sana matangazo ya google...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari zenu. Kwa wale wanaoelewa naomba msaada WA utatuzi WA machine yangu ninayofanyia kazi Kwa kujipatia riziki. Nina machine yangu ya ice cream huu ni karibu mwaka WA nne. Imeanza kuniletea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu wataalamu wa simu,nina tatizo,kuna simu hapa inakataa ku'reboot na sijaju tatizo ni nini,naambatanisha picha sijui kama zitaeleweka,lengo ni kupta msaada wa namna ya kulitatua hili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nimenunua simu vivo y93, tatizo haitaki kuconnect Google app store, inaishia tu checking info...... then haiendelei tena, inaload tu. naomba msaada wa ufumbuzi
0 Reactions
5 Replies
833 Views
Habari wana JF. Mimi ni mkazi wa Kigamboni ninajishuhulisha na web design. Nina idea ya programming kama html, css, php na kwa mbali kama C. Nmetokea kusikia kuhusu python lang. Natafuta mtaalamu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wanajamii, mwenye software ya Tally Erp9 version kuanzia 5 ambayo ni cracked, tuwasiliane inbox
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu nimepjikuta napendezwa na simu tajwa hapo juu. Naomba kufahamishwa bei hapa nchini au kuagiza. Naomba kufahamishaa kuhusu weakness zake. Nimeona ipo pia a80 ila betri...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Naomba msaada wataalama wa pc kama kichwa cha uzi kilivyo. pc yangu inaandika window lisence will expire soon activate it. Sasa kila nikienda setting kui activate inazingia nifanyeje?
0 Reactions
1 Replies
446 Views
Katika karne hii tumebarikiwa maendeleo ya makubwa mno katika teknolojia na sasa dunia imekua kama kijiji. Yapo mengi sana yaliyofanywa katika teknolojia ila internet ni teknolojia ambayo imekuwa...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Wakuu naombeni ushauri nifanye nini kuzuia ili tatizo la PC kuchanika kwani kadri muda unavyoenda ndivyo inavyozidi kuchanika Nashindwa kupeleka kwa hawa mafundi wetu Wa kibongo nahofia kuongeza...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hapa nitakuwa nashare idea, jinsi ambavyo unaweza kutengeneza beat kwa njia rahisi kabisa katika tempo za juu kuanzia 180 - 270 (BPM) kwa kutumia FL Studio, hapa nimetumia Nexus plugin, pamoja na...
1 Reactions
18 Replies
9K Views
Nitawezaje kuangalia channeli zote bure kwenye king'amuzi cha startimes bila kulipia
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mm ndio hazole1 ila ila jf walisha nifungia muda mrefu ila nashukuru kwamaana hanna nilicho poteza kwa7bu ninacho kipata nikilekile. Ila leo nataka nitoe elimu kidogo kuhusu matatizo ya kuchaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu poleni na majukumu hivi karibuni nimenunua simu mpya ya OXE begin 101 shida ya hii simu betri haidumu chaji natafuta mbadala Wa betri yenye mAh kubwa zaidi ya hii ya sasa mAh 1400...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naombeni kujuzwa ubora na matumizi ya Openbox V9S Xtreamtv
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom