Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wanabodi salaam, Tafadhali nahitaji screen ya dell laptop kama picha inavyoonesha hapo chini
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombeni anayejua namna ya kuweka zile backgroun text kwenye publisher anielekeze mfano vyeti vya necta vinavyokuaga kunakua na maneno yanaonekana kwa chini madogo cheti kizima
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wakuu husikeni na Mada tajwa. Nahitaji Mfumo wa kufunga InterCom katika Ofisi. Je ni vifaa vipi na gharama na. Upatikanaji
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Ningependa leo kushea kitu kuhusu hizi codes ambazo zimekuwa zikitumika tangu enzi hizo hadi hivi sasa zinatumika katika jamii yetu hasa katika swala zima kiintelijinsia code hizi zimekuwa na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau, Kuna wazo ninalo hapa, naomba kujua kama ni hitaji, au nafikiri tu... Ukiwa na biashara yako, iwe mgahawa au genge au chochote kile. Kila wateja wanapokuja, unawahudumia. Mwisho wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NATARAJI KWENDA SEHEMU AMBAYO KISIMBUSI KINACHOTUMIA ANTENA HAKISHIKI NETWORK...... NAULIZA HIKI KISIMBUSI KINAWEZA KUTUMIA DISH..... nilienda kwa fundi dish wa kwanza kasema kinaweza na yeye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau habari, kama kichwa cha habari kinavyosomeka ninaomba maelekezo namna ya kuroot tecno spark k7 kwakutumia simu yenyewe bila pc kama inawezekana,asanteni.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Unfortunately google play store has stopped. Aina ya simu ni Samsung grand prime.
0 Reactions
3 Replies
559 Views
Wadau naomba kuuliza vitu gani vinaitajika ili niweze kupata namba ya kampuni na kumbukumbu namba za malipo kutoka katika huduma za kifedha za mitandao ya simu za mkononi mfano M PESA, TIGO PESA...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Wale waliochaguliwa course ya data management open university tukutane hapa!! Hata kwa wanaoendelea watupe overview ya course
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana PC yangu kabla sijapiga window kwenye graphics ilikua inaandika Intel graphics 4000 nilivopiga window kwenye graphics naona window basic display adapter nawezaje kuirudisha iandike Intel...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wakuu,nilikuwa naomba msaada kwa wajuzi wa hili game uwezekano wa kulicheza kwa kutumia simu yangu nmeangalia youtube wakielekeza lakin source zake nikifata zinagoma kudownload msaada kwa...
0 Reactions
81 Replies
10K Views
Local Electricians certainly are a set of pros from electric machines and systems. And, once you need to put in new electric components on your premises or updates, then you ought to seek the...
0 Reactions
1 Replies
596 Views
Niko Arusha Nauza Ram 4GB DDR3 (Samsung planet first,Made in philippines) kwa ajili ya Laptop iko poa kabisa katika hali nzuri na ifanya kazi poa kabisa bei ni Tsh.36000 maongezi yapo nicheki...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huko Marekani hakuna cha mkubwa wala mdogo, ukikiuka sheria unachukuliwa hatua bila kujali ukubwa wako. Sio kama hapa Bongo azam alituuzia maziwa magumashi kisha akayaondoa sokoni bila kuvhukuliwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilianzisha maada hii wiki iliyopita baada ya boss wangu mpya kuwa na njia za malipo ambazo kibongo bongo ni kazi kuwith draw mpunga Leo nikaona ana option ya kulipa kwa bitcoins, nikaona...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa mwenye utaaalamu kuhusu izi printer za kuprintia vitu kama Vehicle wraps Floor graphics T shirt Sweatshirt etc. Msaada nataka nunua printer moja ambayo itafanya kazi zote na kwa uhakika [...
0 Reactions
1 Replies
570 Views
Wataalam bila kupoteza muda niende kwenye mada nataka ninunue Laptop muda si mrefu na ni special kwa ajili ya GRAPHICS DESIGNING nikiwa nimelenga vigezo vifuatavyo BRAND: HP Spectre au Pavilion...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Msaada jamani kwenye tuta
0 Reactions
5 Replies
901 Views
Kwa Wasiimba wote, Kuna Slack workspace(Tanzania Developers) kwa ajili ya community yetu ya wasiimba/ma developer wa Kitanzania toka pande mbalimbali za dunia kwa majadiliano, kusaidiana...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom