Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habarini wadau Nilipoteza IPhone yangu kila nikiitrack nakuta ipo offline ila leo kuna alert nimepata kwa email yangu inasomeka "activation Lock is requesting your password on iPhone" msaada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
computer yangu imepatwa na tatizo baada ya kuchekwa flash baadhi ya folder na file zinajitengeneza shortcut ata ni delete azikubali au zinarudi.naitaji msaada wenu jinsi ya kutatua tatizo hili...
0 Reactions
9 Replies
931 Views
Maelezo haya yapo kwenye video If you do not have a thing to pay me just smile then subscribe to my channel Start button fails to work several times .Because of HANDLE FILE inside the miracle...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Najua 5000 ni hela ndogo sana, ila kwa yeyote mwenye Chimera Tool flasher Full cracked naomba anisaidie, nitamfuta jasho kwa vocha ya kutumia. Natanguliza shukrani
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Apps zifuatazo ni hatari zaidi kwa uhai smartphone yako Du booster,Clean master na 360 security Du booster na clean master zinafanya kazi ambazo wengi wetu tunazisifia kuwa zinapandisha speed ya...
7 Reactions
9 Replies
6K Views
Ndgu wana jf: Kama kichwa cha habari inavyoeleza apo juu naombeni msaada wa jinsi ya kuunganisha desktop yangu na photocopy machine aina hiyo apo juu, kwani nimepakua driver setup yake lakini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau nimejaribu kutumia Uber-app naona "Places Autocomplete Feature" yake ina uwezo wa kutoa suggestions za maeneo mengi na kwa usahihi wa juu zaidi ukilinganisha na ile inayotolewa na "Google...
0 Reactions
0 Replies
467 Views
Habarini za kazi wakuu, nina siku mbili tu toka nime switch from windows 8 to 10 kwaajili ya software ya Solidwork lakini nilicho kutana nacho ni matumizi makubwa ya data bila mimi kujua kwani...
1 Reactions
34 Replies
9K Views
Wakuu mwenye chaja ya computer ya Asus, Tuwasiliane iwe nzima. Njoo na bei kabsa hpa au pmm karibunim
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Wadau Vp jiko la gesi likizingua kwa kutoa masizi plate moja Na plate nyingine haiwaki kabisa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Simu yangu ya Samsung galaxy J7 ina tatizo la kupoteza memory ya sim card; na hii ni kwa sim card ya Halotel tu. Nimeweka picha hapo chini
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Salute.. Sijui ni mkosi au nachukua bidhaa mbovu ila Kampuni ya Sumsung inanitesa sana. Mwanzo nilikua natumia Samsung S4 ikawa inachemka sana hadi vidole vinapata shoti, chaji ikijaa ndani ya saa...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
..
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Uzi huu unaletwa kwenu na Orb Tech LLC. Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza Software development ni idara pana sana na ni ngumu mno. ugumu huwa mkubwa...
6 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu Siku chache zilizopita goog pixel 4 imetoka, kwa nionavyo mm hawa jamaa wanawapa bichwa tu iphone mana wameigiza karibia kila jambo kwenye iphone ila wao walichoharibu ni display yao...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau, desktop yangu ilikua inapiga kazi fresh tu ina run windows 7 64 bit, sasa gafla wakat wa kuwasha naona inaishia kwenye logo. Nikajarb hii solution, nikatumia bootable flash ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wanajamvi wataalamu wa Mambo ya umeme naomba msaada,Nina kofriji kidogo nikikonect na umeme kinawaka kama dk moja kinazima, halafu baadae kinajiwasha Tena kinazima hivyo hivyo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ningependa kujua uzoefu wenu wakununua vitu kupitia matangazo ya Mtandao wa kupatana. Je, kuna changamoto zozote mmekutananazo kutoka kwa wauzaji, na je, ni kitu gani mnunuzi lazima ajiandae ili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habar wakuu...? Nnaweza kupata/kujua Location ya Simu iliyoibiwa kwa KUTUMIA EMEI number
0 Reactions
3 Replies
908 Views
Ni viashiria gani vya smartphone kuwa kuna watu wanatrack? Niligoogle nikapata majibu haya wawa1.Simu kuwa ya moto sana 2.Kuisha kwa betri,salio na bundle mara kwa mara bila mpangilio. 3.Kuwa na...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Back
Top Bottom