Habari wana JF!
Katika vitu navutiwa navyo ni pale nnapoona teknolojia inaendelea na kukua!
Tulianza na java kama main language kwenye android development, ikaja kotlin sasa google wamekuja na...
Habari wa weekend wanajamvi!
Naomba msaada wa kuelewa hili tatizo, nina PC hapa EliteBook HP kuanzia jana jioni inaleta maruweruwe.
Nikiwa naitumia inazima ghafla hata kama chaji iko ya kutosha...
Wakuu kuna taabu kidogo napata hapa naombeni msaada wenu. Ni kwa jinsi gani ninaweza kutafsiri video kutoka kwenye page ya mtu ya youtube na video hiyo aliiupload bila subtitles. Kwa mfano nataka...
Habari za usiku ndugu wanaJF wenzangu ambao bado tuko jicho mpka mida hii. Lengo la uzi huu ni kujuzana na kupeana elimu juu ya mfumo wa malipo wa Gpay unaomilikiwa na kampuni ya google.
Kwa...
Habari wadau!
Naombeni msaada juu ya vitu vitatu kama kuna mtu yeyote mwenye ujuzi juu yake
1. Forwading company yenye gharama nafuu kidogo?
2. Secondly, mfano nimenunua bidhaa kutoka ama...
Habari wanajukwaa!
Mwenzenu nimeona bora nije nipate ushauri kabla ya kufikia maamuzi.
Ni hivi,. nahitaji kununua friji, lakini kwa bajet ndogo niliyonayo nimeona moja wapo ya hizi friji hapa...
Tarakilishi hii inafanya kazi kwa kutumia misingi ya 'uchawi'. Mfano tunajua kwamba mtu hawezi kuwa dar es salaam na wakati huo huo akawa Mwanza, lakini kwa tarakilishi hii hilo linawezekana. Pia...
Habari wanajf, nimechukua PC dell sema kila nikijaribu kupunguza mwanga haupungui wa kuongezeka hata kidgoo sijui shida nini na kama ni driver ni-download driver gani kwa process zipi? Thanks...
Habari wadau, laptop yangu aina tajwa hapo imekatika mguu wa kulia wa kushikilia screen.
kama kuna mtu ana scaper ya laptop hiyo na cover ya screen yake tuwasiliane.
Habari nina hitaji kujaza form ambayo ipo online. Kwa sasa nashindwa kufungua website ambapo kuna hiyo form, inasema site can't be reached. Ninashindana na deadline, inawezekena kwa kua watu wengi...
Wakuu heshima kwenu.... Nina kifaa changu tajwa hapo juu ni kipya.... Hapa nilipo nimeamka ghafla App zote nilizo tafuta play store hazionekani na simu chini kushoto imeandika neno safe mode. Ni...
Nahitaji mafundi simu wa ukweli na watu wa IT ili tutengeneze kifaa tutakachofunga kwenye simu kwa ndani ambacho hakitoonekana kirahisi, ili kuifanya simu ionekane mahali popote ilipo ili...
Habarini jamani, napata hii error:
The given artifact contains a string literal with a package reference 'android.support.v4' that cannot be safely rewritten. Libraries using reflection such as...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.