Wakuu kwa mara ya kwanza nakutana na ban ya whastapp nilikuwa sijui.
Nimelala usiku whatsapp ikiwa fresh kabisa yaani nimechat mpaka labda saa 5 hv usiku, nikalala ile kuamka asubuhi kufungua...
Wakuu mambo vipi? Naombeni mwenye uwezo wa kunisaidia kutengeneza game au robot kwenye PIC na kuweka kwenye simu anisaidie..
Nimepewa assignment chuo sasa hata sijui pa kuanzia maana nimepambana...
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Basic Certificate. Ningeomba msaada kwa anayeweza kunifahamisha aina ya laptop na space inayotakiwa ili nifanikishe lengo langu.
Natanguliza shukrani kwenu.
Nimeona tangazo kuwa kwa sasa imetoka simu mpya ya Tecno Camon 12 ambayo unaweza peleka dukani simu uliyonayo kisha ukaongeza hela kidogo kupata toleo jipya.
Kwa hili niwapongeze Tecno japo...
Nasikitika sana ninapoona fundi anapopewa ushauri lakini unajifanya unajua mwisho unaharibu.
Niko zangu safarini nikaenda kuchaji simu, katika office moja wapo kuna fundi simu. Mteja kaleta simu...
Kutokana na kuongezeka kwa makazi ya watu huku ukubwa wa transformer za Tanesco zikibaki zilezile,kumepelekea maeneo mengi ambayo miji yake inakuwa kukabiliwa na tatizo la umeme mdogo hasa...
Filamu inayotarajiwa ya shimo jeusi itaanza kutazamwa hivi karibuni.
Kundi moja lililopiga picha za kwanza za shimo jeusi lililopo angani limetangaza mipango...
Wataalam wa anga wamegundua sayari kubwa ambayo wanasema, haipaswi kuwepo, kulingana na nadharia za sasa.
Ulimwengu huo unaofanana na sayari ya Jupita ni mkubwa sana ikilinganishwa na nyota yake...
Husika na mada tajwa hapo juu,
Kuna baadhi ya applications nilizipin kwenye taskbar, sasa leo ghafla nikaona hazionyeshi zile picha zake (icons) na nikifungua hazifunguki.
Naomba mwenye kujua...
Wakuu habari zenu.
Naomba msaada juu ya ku-update samsung s7 edge kutoka android 6 hadi 8(oreo) kwa custom room.
Lengo la kuomba ni kupata hiyo update kwa sababu hii simu ina verzon brand na sio...
kama kichwa kinavojieleza ktv changu kimeacha ghafla kusoma hdmi je inawezakana kurekebishwa maana ina port moja tu ya hdmi na mwanzoni ilikuwa inasoma vizuri.
ivi wadau hdmi portal ikiharibika inarekebishika,,,maana nina tv yangu mwanzo ilikuwa inasoma vizuri.Ila jana ghafla nilipoiwasha ikawa inaandika no signal from current input.Nimejaribu tena leo...
Umoja ni nguvu kufanya kitu bila ushirikiano kuna udhaifu mkubwa kuliko faida zake, Kama wewe ni blogger, Youtuber, Affiliate marketer ama unajihusiha kwa itikadi za online money making na upo...
Ishu ipo hivi baada ya kutolewa spidi na uzi wangu jukwaa lile, nimekuja hapa swali lipo hivi je laptop hard disk zote zinaingiliana au ukubwa wa umbo zipo sawa?
Namaanisha hard disk ya dell...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.