Download and instal the apk and all you need is internet bundle. Try this nimeipata somewhere kwangu imekubali, na live stream channels, Movies.
http://www.mobdro.com/lb/downloads/mobdro.apk
Ndugu wapendwa nataka kununua simu aina ya samsung galaxy A2 maana budget yangu ni around 200k
Naomba kujua uimara wa hii simu kwa aliyewahi kuitumia nikimaanisha cons na prons zake. Pia ubora wa...
Habari waaalamu?
Naomba kuuliza…Unapohamisha email labda kutoka kwenye "trush" folder, ukaiweka kwenye "sent" folder, hii itafanya email hii kutumwa automatically hata kama ilikuwa haijatumwa...
Habari wadau wa gadgets...
Wale wapenzi wa iPhones siku mbili zijazo apple watazindua iphone 11. Simu hii inasemekana itavunja rekodi ya smartphone zote ktk kila nyanja.
Karibuni hapa tuisubiri...
Kama kawaida
Nimepanga kuhudhuria Sahara sparks 2019: Africa in the fourth industrial revolution
Ni moja kati ya event kubwa ya mambo ya Tech Africa, ambayo tofaut na event nyingine...
Habarini wadau natumaini muwazima
Niende mojakwamoja kwenye mada
Mimi nikijana mwenye umri wamiaka 27 nina mpenzi wangu ambae tumekubaliana kuoana lakini haniamini kua nampenda anahisi kuwa nina...
Full Stack Software Engineer job opening at ENGIE Powercorner, find the attached pdf for more details. Application deadline is Oct 25th 2019.
If have a question, just ask it on this thread...
Habari wanajf. Naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu kutumia digital multimeter ambayo haina sehemu maalum ya kuset kwenye uf (microfaraday) kwa kupima capacitor na kujua kuwa ni nzima au ni...
Wadau naomba kuuliza,ninataka kununua washing machine kwa matumizi ya nyumbani lakini kwa uzoefu wangu naona washing machines nyingi huwa zina haribu nguo kama kupausha nguo nakadhalika. Je zipo...
Mimi kama mjumbe nawapa iyo taalifa..
Kuna jamaa zangu wamelia huku pesa zimeibwa
Kwa kiswahili kizuri pesa zimekatwa katika mitandao yao waliojiungia!
Kama ikiwezekana pesa zako hamisha...
Hello Bros,
Msaada hapa Ndugu zangu,
Bittorrent na Uttorrent hazivutiki/hazipokei magnetic link kutoka kwa Torrent sites!
Wadau hapa nini tatizo? Nifanye nini??
Niliamua kutumia hizi kama...
Wakuu habarini , katika kujaribu kupekechua nimejikuta natengeneza blog ya bure kupitia blogspot ila sina elimu nzuri kuhusiana na haya mambo.
Naomba kuuliza, je naweza kutumia hiyo blog...
Habari zenu wakuu,
Nina simu yangu aina ya "Huawei Y3 Lite", hivi karibuni nimepata tatizo moja, kila nikidownload pdf file inanipa ujumbe huu " The file could not be downloaded.Please save the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.