Wadau nahitaji kutuma kabox kangu kigoma naombeni msaada mnielekeze ni wapi zilipo ofisi za saratoga hapa dar ili nipate tuma mzigo wangu
Natanguliza shukrani
wakuu naomba tushirikishane android framework unayotumia. Na si vibaya ukatupa na sababu ya kwa nini umeichagua hiyo framework. Mimi binafsi nasubiria majibu yenu kusudi nichague moja nianze nayo...
Kwenu Wajuzi nimeona nije kwenye jukwa hili kutokana na kuheshimu mawazo yenu, basi naomba kama kuna mjumbe amepata softcopy ya kitabu icho au audio yake naomba anisaidie
Ndugu wataalam wa blogs msaada jaman nimefungua blog kupitia blogspot nimeiverify na google console nikaiunga na TAG MANAGER lakin bado haionekan kwanye GOOGLE SEARCH chochote unacho kijua ni...
Natumia tecno C 11 PRO jana usiku nilimtumia ndugu yangu SMS(SMS YA KAWAIDA SIYO ZA WHATSAPP ZILE ZA KAWAIDA KIUKWELI SIJUI NDIO ZINAITWA HIVYO HIVYO SMS AU LAAH!!)
Baada ya hapo nikaifuta ile...
Nipo nataka kununua simu moja wapo kati ya izo ipi ni bora
Kama kuna mtu mwenyewe uzoefu nazo
Note: usinambie ninunue iphone7 plus hapana sipendi plus za iphone zote sababu ya size zake ni kubwa mno
Jamaa zangu habarini za asb, ninaomba msaada wa ufaanuzi kuwa; natumia simu ya TECNO K8 SPARK na ina MICRO INTELLIGENCE, nilisikia matangazo ya simu hivi karibuni nikasikia kuwa hii ni akiki ya...
Habarini za humu wadau,Mimi ni mobile app developer based on android...Nimekuwa nikifanya developments za apps zangu nikiwa nyumbani ila sasa hivi nataka nitoke home niwe japo naenda...
Wadau Habar natumia techno k7 niikingia kwenye app ya M bett inaniandikia Unfortunately M bett app has stoped.Nimejaribu kufanya yafuatayo hayajanisaidia, 1 kuifuta app na kuidownload upya 2...
Hellow , guys natumai mu wazimaa nilikuwa nashida yakujuzwaa zaidi jinsi yakutumia ubuntu hasa kwa kuinstall windows games na application kama whatsapp.
Nilibadili operating system ya macintosh...
Kuna matumizi mengi sana ya kamera ya simu janja zetu ukiachana na yale tuliyo yazoea ya kupiga picha tu
Unajua kama kamera ya simu janja yako inaweza ikawa na matumizi lukuki ambayo kwa namna...
Kwanza wakuu nitoe shukrani kwa kujali na kusoma thread yangu.Shida niliyonayo ni napingwa Ban nikitumia whsap yoyote ile hasahasa nkifungua group na ku add watu, kazi nayifanya kwenye whatsap...
Nimeuziwa IPad ambayo niliaminishwa kuwa ni mpya lakini baada ya kuichukua nikagundua ina ICLOUD LOCK,Naomba msaada wenu wadau Niko tayari kwa atakaweza kunisaidia.
Habarini wakuu!
Naomba msaada wenu wa program tajwa hapo juu (VIRTUAL DJ) mniwekee hapa ili nami niweze kuipakua kwani nilikuwa nayo zamani kidogo kwa PC yangu lakini ilijifuta kwa bahati mbaya...
Kuna jamaa ametoka China amekuja na hiyo simu tajwa hapo juu VIVO Y93 anataka nimpe hela but mi sio mtaalamu kabisa wa simu wakuu.
Vipi ubora wa hii simu wataalamu......
Pengine si wewe mwenye matumizi mabaya na bando lako ila unajikuta unatumia bando kubwa zaidi kuliko matumizi yako madogo ya mtandao. Hili ni suala la kawaida kwenye simu za smartphone.
Kuanzia...
Watumiaji wengi wa Android suala la Ads katika Apps linatuchukiza sana,
hapa nitaeleza njia ya kuondoa
Ads.Mahitaji:
1. Simu ya Android iliyokwisha Kurutiwa.
2. Lucky Patcher App...
Hope wote ni wazima..
Kuna mdau alileta Uzi wa mambo ya programming nilivutiwa sana na Uzi wake na kuna kitabu nilikidownload kwa ajili ya kujifunza kinaitwa "computer programming for kids and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.