Habari wakuu,
Kuna VF695 hapa kila nikiiwasha inaniandikia maneno yafuatayo;
1.unfortunately android system has stopped
Kila program nitakayo fungua inanianfikia kwa mfano;
2.unfortunately...
Habari wakuu,
Binafsi siamini katika computer classes zitolewazo mtaani, hivyo basi kuna Mdogo wangu anataka kuanza kujifunza computer mtandaoni, naomba kujua;
Je itawezekana kujifunza yeye...
Habari wana-JF leo nimeleta Accounts premium za NordVPN zina subscription ya miaka mitatu, zote zita-expire mwaka 2022. Utapata access ya nchi 58 mojawapo ikiwa ni South Africa nchi pekee kutoka...
Wadau,
Nimekuwa napata kera ya hali ya juu kwenye simu yangu inayosababishwa na google ads yani nikiwasha data tu matangazo yanaanza kutokea.
Kuna banners ads ambayo hutokea kwa juu na kuchukua...
Natumaini wadau hamjambo-
wengine tupo nnje ya nchi na hua tunatumia sana azam application kutizama program za kiswahili pia na habari za nyumbani ila kwa sasa tunaona matangazo tu leo siku kama...
Amani ya Mola iwe juu yenu wote.
Wakuu mi naomba kuuliza swali tajwa haoo juu.
Katika hii biashara ya kumiliki na kuendesha Website,Bloggu au App tuseme labda yenye maudhui yanayokubalika kwa...
Habari za majukumu wadau. Naombeni wataalamu wa video editing mnisaidie kwenye hii app ya kinemaster. Namna ya kuitoa water mark yake. Natanguliza shukrani
It's not that hard kama wengi wanavyodhania, sina muda wa kuweka nyama kwenye post let me get straight on the objective,
1.DOMAIN (elfu 3 tu)
1.Jisajili godaddy
2.tafuta domain inayokupendeza ya...
Hellow bosess, Baada ya kupata mda kidogo nimeona sio mbaya ku share matumizi mbalimbali ya computer languages na namna nani unaweza kuzutumia kuna tons za computer language mm nita share zile...
Hili halijashindikana. Ni suala la muda tu maana kwa sasa watengenezaji wa chaja na betri hawajafikia levo ya financial saturation. Au hajatokea mwendawazimu mmoja kwenye ushindani akaamua kufanya...
Kampuni ya Samsung ya Korea imezindua simu janja mpya huko nchini India. Samsung M Series zitakuwa ni simu janja zenye uwezo mkubwa na bei nafuu.
Matoleo mapya waliyozindua kwa sasa ni Samsung...
Wakuu ningependa msaada kutoka kwenu ktk ili tatizo nashindwa kuingia Instagram kila nikijaribu kuingia inagoma kwa kuleta hayo maneno pichani...nikaifuta na ku-install upya ttz lipo pale pale...
Kwenye simu yangu na app ya bet pawa nikifungua tu hiyo app kuna tangazo linakuja yani siwezi kubet kabisa paka liondoke linachukuwa muda sana naomba msaada kama kuna njia ya kulizuia ilo tangazo
Habari
mm ni wakala wa M-pesa vile vile nasajili line so jana simu yangu ya smarphone (ambayo ndio naitumia kusajili line) nili roboot, na app ya kusajili line ilitoka, mwenye hiyo app ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.