Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mambo niaje wana, Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri. Vyuma kitaaa vimekaza si mchezo na suluhisho sio kulia lia "oh vyuma vimekaza, tuna degree ila hakuna ajira, hatuna mitaji" and all sorts...
5 Reactions
14 Replies
5K Views
habari wadau ninatumia laptop but pia huwa ninatumia sana desk top yangu naweza kusema hii desktop ndo yenye vitu vyngu vingi sana vya kiofisi na ndo huwa napenda sana kuitumia. TATIZO jana wakati...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaad mwenye kujua mfano adobe after effects cc 2019
0 Reactions
0 Replies
986 Views
NELSON GRAPHIX tunatoa huduma za Graphic design zenye ubora na kiwango cha juu, zifuatazo ni huduma tunazozitoa; •Poster Design •Flyer Design •Business Card •Logo Design •Banner Design •Product...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu natumia tecno spark 2 . sasa tangu juzi kila anayenipigia anakuta simu ipo busy , yaanj ni kama contacts zote zipo blocked silihali kwenye block list hakuna kitu. Nimejaribu setting kadhaa...
1 Reactions
3 Replies
893 Views
" THIS APP CAN'T RUN ON YOUR PC. To find a version for your pc,check with the software publisher.". Nmetoka kuamka na kuwasha pc nkachomkea flash,defender ikanipa warning ya kuscan nkapuuzia ila...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari wanajf, Nina hp probook 340 nikichomeka HDMI inaonesha chenga chenga nikiwa nacheza game pes 17 lakaini nikiangalia movie inaonesha fresh , shida nini ili nisolve tatizo hilii, manake...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu habari na poleni na majukumu. Nina PC lenovo inakua inaji restart mara kwa mara,hasa ninapokua nimeingia mtandaoni...inazma ghafla na kisha kuwaka tena na kunpa ujumbe VIDEO IDR FAILURE...
0 Reactions
0 Replies
568 Views
MegaPyne
Its always good to use free software over paid ones but the real fun is to use a licensed version of a paid software for free. The trick here is to actually make use of a promotional...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Hi everyone Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,kwa ambaye ana Account ya Twitter yenye Followers wengi,kwa ambaye anayo please DM me.
0 Reactions
2 Replies
924 Views
kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia suala la Internet limekuwa chachu ya kurahisisha kazi, sehemu nyingi kwenye maofisi utasikia wanasema mtandao uko chini/internet imekata, hata kwenye...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
I'm in need of better app for downloading music . nlkuwa natumia “audio mack ” naona inazngua
0 Reactions
42 Replies
11K Views
kuna baadhi ya video ambazo zinapostiwa hapa jamiiforum,napojaribu kuziplay kwenye hii simu yangu hazikubali,natumia samsung note 9,wajuzi nifanyeje?
1 Reactions
2 Replies
796 Views
Nisiwe na maneno mengi sana Wataalamu wa haya mavitu hebu nisaidieni kdg, ipi ni bora kumzidi mwenzie in 2019?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wana jf sorry Nina changamoto kwenye Instagram account yangu, yani mtu akinitumia message private ,I mean direct messege (DM) kila nikiifungua naambiwa mtandao uko chini hali ya kua mtandao...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Dunia inaenda kasi sana na teknolojia ndiyo imeshika hatamu. Mimi natamani wale wataalamu wa Coding hasa JAVA tukutane hapa kusaidiana skills za hii Program. Naamini baada ya muda tutakuwa...
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Naomba kufahamishwa, hivi website ikiwa Multi-language na Geolocation(mfano site ni www.mysite.com, akiifungua mtu alie burundi itafunguka katika lugha ya French na content za burundi, akifungua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Rafiki yangu ana laptop hiyo ya Compaq CQ70 ambazo zilitoka miaka ya 2010 hivi. na imeharibika chasis ( namaanisha ile frame ya nje toka kwenye kioo na pia chini kwenye motherboard) vitu vingine...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Wadau habari nilikuwa nataka kubadilisha simu sasa nilikuwa nataka kununua simu ya aina ya google pixel xl naomba mawazo hapa hizi simu ni nzuri au,kikubwa nachopendea hizi simu ni camera yake na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom