Hbr ya saa hizi wataalamu? Simu yangu kuna app ina download muda wote. Ina maliza kudownload, inaanza tena, ikimaliza inaanza upya app hiyo hiyo kilasiku. Naomba msaada jinsi ya kusitisha...
Wakuu nna tatzo na simu yangu, nna hyo simu mfano nikipigiwa unashangaa imejizima ghafla, halafu inajiwasha, na hata ukiplay music unashangaa ghafla imezima yenyewe ikiwaka inachange level ya...
Nimenunua modem mpya leo kwa ajili ya kuacess internet kwenye pc yangu nimechomeka imeniletea option ya kuinstall program yake vema tu nikifungua program inaonyesha kusoma vizur kabsa kwan majina...
Mimi ni mpenzi mkubwa wa filamu za animation, na unapoongelea animation moja kwa moja unazigusa studio tatu kubwa duniani yaani Dreamworks, Pixar na Disney.
Dreamworks wamefanya kazi kama vile...
Habari wakuu.....
Nina external yangu yenye ukubwa wa 500GB
Kampuni TRANSCEND tatizo lake napokua na nimeplay Videos Ghafla Video inaganda halafu inaendelea tatizo hili linanisumbua sana...
NAOMBA MSAADA NINA SIM AINA YA OPPO A53 KWENYE SETTING INAONYESHA INASHIKA 2G,3G,4G LAKIN INAISHIA KUSHIKA E HATA NIKIWA MJIN NMEBADIL LAIN LAKIN BADO BAS PLZ MWENYE KUFAHAM JMN
Hello wakuu,
Ninatafuta mwenye crack ya Samsung tool Z3x ya mwaka 2019, au yoyote yenye function ya kure-write imei kwa hizi simu za America kama AT&T na Verizon.
Crack nilizonazo zote sehemu ya...
Habar wanajukwaa
Simu yang samsung j7pro inatatzo la network kua chini km nitafungua data na kumtumia mtu chat kw whatsapp huchukua had dakika moja bado haijaweka tick.
Pia sometime nikipigiwa...
Mambo vipi?
Nimeketi sehemu nimetulia nikaona ngoja niandike post fupi ni-share some interesting news na wana JF kuhusu teknolojia, ujasiriamali na vile mambo yanavyobadilika haraka katika dunia...
Wataalamu wa mtandao, naomba kuuliza kuna app yoyote inayoweza kuhifadhi music yako iliyo kwenye simu,? namaanisha nataka kuuza simu na miziki yangu naitaka nihifadhi ili nikinunua simu mpya na...
Nataka nichukue game console, ila siajajua ipi ni best kati ya Ps3 na ps4 in terms of game za kutosha na uimara na ubora wa console. nina bajeti ya kutosha
Angalizo: Sihitaji Pc games
wataalam...
Wakuu nashindwa connect mtandao wa internet kwa kutumia hii moderm yangu yaan hii moderm inanishangaza kwa kuwa inasoma laini vizur tu majina message na mtandao unaonyesha kabisa umesoma tatizo...
Forever IPTV language package (3500pcs+ HD&SD live online):
Albanian
Arabic
Africa
Brazil
Bulgaria
Chinese
Czech
Canada
Cyfrowy Polsat
Dutch
French
German
Greek
Hungarian
Italian...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.