Elmurasolutionsltd
All types of IPhone Display Original
Cables, Charger, earphone with Warranty
We can Fix your broken Display wherever you're. We offer 3D/4D Glass Protector after fixing...
Wakuu..
Nina laptop niliuziwa ikiwa na Bios passoword bila kujua,
Naomba mnisaidie je hii password inaweza kutoka? /
Na pia nifanyeje ili niweze kuweka window maana nimekwama kabisa.
Chief-Mkwawa
Nina pc yangu aina ya acer shida inakuwa kuwaka inachukua dakika 20 kwa kujirestart mara system recover nimebadili window bado tatizo linaendelea naomba yeyote mwenye uelewa anisaidie plz
Wadau nipo katika tukio la harusi. Sasa jamaa anayechikua video anaweka hiki kifaa kuelekea eneo analochukua picha. Sasa sijajua ni kitu gani hiki na kina kazi gani. Naombeni mnijuze wadau nitoe...
Nilifungua account ya Facebook nikaweka mfumo wa two security nikawa natumia kama kawaida sasa tatizo ni kwamba nikitaka Ku login ili nitumie code code haitumwi NA Facebook nilisha lipoti tatizo...
Wadau naomba mwenye kuijua app kwa ajir ya kufanyia mixing itakayonipa mb chache ila quality nzuri..
Nimejaribu kutumia Virtual Dj ila inanipa mb nyingi sana kwa mixing isiyozidi hata 1hr inaleta...
Free Download Windows Password Reset
PCWin Recovery w/ Windows Password Reset
Reset Windows Passwords
Easily and safely reset any Windows password (including the Administrator password) to...
Habari za mchana wadau,
Dunia siku hizi imekuwa kijiji kimoja (global village) thanks to technology. Sasa, kwa mujibu wa hili, naamini pia web design/development tanzania imekuwa.
Endapo wewe ni...
I hope all mko poa...nianze tu katika kuomba ushauri wenu ni hivi,mimi ni graduate wa electrical engineering katika moja ya vyuo hapa nchini tena kikubwa tu ila ninahisi kama I don’t qualify to be...
Wakuu, hivi kuna ambaye anatumia lile bando letu la kushusha vitu (heavy weight) 1000 internet bure kuanzia saa 6 mpaka sa12 asbh
Maana mara ya nne hii nachoma buku zangu hela wanachukua na...
Habari wapendwa. Naomba msaada wa anaejua Jinsi ya Kujiunga na jumia.
Nina bidhaa zangu nataka Niwe nauza huko.
Shida ni jee najiungaje. Mwenye kujua Tafadhali anieleweshe mnaamini humu Kuna...
HEY GUYS.........
Thefreedom is hereeeeeee.
karibu tena katika katika mwendelezo wetu wa
Netcat advance blackhat hacking TUTORIAL >> hack windows pc + networks
ambalo ni somo litakalo improve ur...
Kampuni ya Huawei hivi karibuni kupitia kwa viongozi wake wa juu imebainisha kuwa inafikiria kutafuta mteja wa kununua biashara yake ya 5G. Huawei ni moja kati ya kampuni chache ambazo zina...
Compromise Any Network in Black hat style
guys sorry sana nawezakuwa sijaeleweka kwasababu niliandika full article ila system ikasave draft ya kwanza nimekuja kupost na kuta kile nilichoandaaa...
Hi guys..
Wiki iliyopita niliazima Computers mpakato kwa rafiki wa mtaani ili nicheki muvi, ananiamini sana so hadi usiku hua nalala nayo natumia. Basi kaniazima nimecheki series hadi saa saba...
Habari wana JF,
Nimenunua simu ina miezi minne sasa, sijawahi kuidondosha wala kuigonga kwenye screen, ila chaajabu screen upande wa juu imeanza kujitouch yenyewe, yaani unatouch huku yenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.