Vip hali wataalam wa adsense .. ukiacha na shughuli nyingine ninazozifafanya mimi ni mwandishi wa makala mitandaoni, nilihitaji sana msaada hapa kwa wale wajuzi wa google adsense, Kwa siku huwa...
Before company thinking of integrate artificial intelligence should start by building data lake
The Data Lake retains ALL data. Not just data that is in use today but data that may be used, and...
Ninayo aina ya simu tajwa hapo juu. Unapo iwasha inawaka kama kawaida, ila inapotaka kuingiza mtandao tu, inajizima na kujiwasha tena. Mwanzo nilizani ni tatizo linalo sababishwa na betri kuwa...
Hello, wataalamu wa tech kwa ujumla, niambieni ni nani au wapi ntapata provider mzuri mwenye internet yenye speed kali?
Au mtandao gani wa simu au kampun gani naweza kupata hizi router au modem...
Miaka ya karibuni Artificial intelligence imekua ni hot topic hata davos ni moja ya vitu vilivyoongelewa sana. Hata nchi hasa mataifa makubwa wamekuwa wakipambana kuwa kiongoz katika Artificial...
Kama kuna mtu anajua au yuko tayari kujifunza na kutumia big data management software kama apache hadoop, kutengeneza artificial intelligence apps kama machine learning models na deep learning...
Natumia lugha nyepesi ili kila MTU atakama amesoma account au sociology aelewe
Why artificial intelligence
Kilichofanya kukua kwa AI ni ukuaji wa kasi wa unstructured data kama CCTV image...
Helo wadau, habari zenu naomba kujuzwa kuhusu hili, Dstv exploler ni dekoda ya aina gan hasa ina nn cha ziada ambacho niliwapoteza nayo itakua tofauti na dekoda ya kawaida? Kwa anayefahamu kwa...
kwa wale wanao tumia simu yenye line ya airtel wanaweza kutuma neno internet kwenda namba 232. Baada ya hapo utatumiwa text ya kuinstall ili uweze tumia internet kwenye simu yako. ni hayo tu. mia
Wenye uzoefu katika hili naombeni msaada kwenu nina hp elitebook ambayo haina mlango wa disc inatumia usb naomba nieleze hatua nilizofanya kisha wataalam mtanishauri ni wapi nilikosea
Hatua ya...
Hivi karibuni nimekuwa na kazi nyingi sana mtandaoni, Lakini kazi nyingi zimekuwa zikikatizwa na gharama Za mtandao(Mara nyingine imenilazimu nitumie hata 5,000 kwa siku). Ningependa kujua mtandao...
Habari wakuu! Nimepata tatzo kidogo pc yangu imegoma ghafla kuwaka! Nik-press switch on button zinawaka taa za kuonyesha inawaka but then after two seconds inazima. Nini tatzo? Naomba msaada wenu...
wakuu naomba kwa anayemfahamu dealer yeyote wa viyoyozi vya Toshiba kwa hapa Dar es Salaam anisaidie maelekezo namna ya kumpata au namba ya simu kama atakuwa nayo.
Data za akaunti milioni 210 za watumiaji wa mtandao wa Facebook zavuja baada ya kudukiliwa na taarifa za akaunti zao zinapatikana kwa urahisi mtandaoni.
Jumla ya data zilizowekwa wazi zinaonesha...
Simu Samsung a30 nikiweka line yoyote nikajaribu kupiga inaniletea msg not registered on network lakini line hiyohiyo inasoma vizuri nikiweka kwenye simu nyingine. Msaada kwa anayejua tatizo ni nini
Jukwaa Tuwasaidie watu,Watu hawa wanatakiwa kusaidiwa ni wa Aina Mbili
1.Moja Yule Anae Amini Huduma Ipo na kulipia kisha Akaibiwa ikiwa uhalisia Hicho kitu hakiwezakani
2.Na yule Asie Amini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.