Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Amani iwe kwenu wakuu Samahani jaman mm nina simu KTouch sasa imeanguka na kuharibika touch hivyo haisense kabisa Sasa naomba kujua je kuna uwezekano wa kuibadilisha hio touch kwa kutumia touch...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Nimejikuta simu haina contacts nyingi. Sikuzifuta na ningependa zirejeshwe. Naomba ushauri. Aina ya simu ni IPhone X.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello JF Visitors and Members. I wish to make money online using Google adsense. What is different between page views/visitors and clicks? I want to sell google adwords in my websites...
0 Reactions
156 Replies
21K Views
Ni sony mini-hifi GZR999D ninapoimulika na tochi kwenye sensor ya remot control inareflect maandishi ya kirabu/quran nisaidieni wadau inaniogopesha sana.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
KAMPUNI YA APPLE YAPOTEZA DOLA BILIONI 9 NDANI YA SAA MOJA > Imepoteza fedha hizo ambazo ni sawa na Trilioni Tsh. 21 katika soko la hisa, saa moja baada ya Jony Ive aliyehusika katika ubunifu wa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Tafadhali naomba msaada kwa aliyekwishakumbwa na hili tatizo kwenye tv yake aina hii ya sony inch 29 .Tatizo lake lipo wakati wa kuiwasha ukiiwasha inaanza kuwasha taa nyekundu na kijani kwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hey mambo nimekuja hapa kudiscusss swala moja la idea from nowhere kwamba kumekuwa na wimbi kwamba watu wana double accounts! So mimi nlichokua nafikiria kwamba kungekuwa na "MACHINE LEARNING"...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Hatimaye nimeipata
0 Reactions
0 Replies
527 Views
Naomba kueleweshwa vizuri wataalamu maana naona nimekariri ila sijaelewa vizuri kabisa hivi vitu 1.inner join 2.left join 3.right join 4.full join Maana vinaniuniza kichwa sana
1 Reactions
31 Replies
2K Views
MSAAADA TAFADHALI custom binary blocked by frp lock HII IMETOKEA KWA MY SAMSUNG note 5 MSAADA TAFADHALI
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mambo vp wadau, nilijaribu kuapply adsence lakini nimekataliwa. Ni vitu gani vya msingi nifanye ili nikubaliwe na adsense kwenye blog yangu?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamaa yangu wa karibu namba yake ya simu mke wake kaidukua, kila akifanya mawasiliano na watu mkewe anajua, hadi meseji, afanyeje kukabiliana na hali hii? Mwenye ujuzi tafadhali msaada.
0 Reactions
10 Replies
945 Views
Habar zenu wakuu. Naombeni namna ya kuhack coins, stars, money etc bila ya kuroot simu yangu. Mnatumia njia au app gani? Shukrani.... cc Chief Mkwawa and......
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Apple inayumba Ingawa Bado ni Kigogo Apple wametangaza mambo mawili makubwa, awali wametangaza matokeo ya mapato katika robo ya kwanza ya mwaka 2013. Pili wametangaza mkutano rasmi wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
NOTE: Kwa attachment ambazo hazifunguki nenda chini kidogo baada ya uzi( kwenye comments) utakuta picha kwa mtiririko huo huoo, HUU NDIO MZIGO WALIOTOA SAMSUNG Huko San Francisco Marekani Katika...
25 Reactions
138 Replies
20K Views
Wadau nauliza kioo cha Samsung s9 ni bei gani!
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Jana Tarehe 25 Feruary katika Maonesho ya Simu ya MWC Kampuni ya Samsung imezindua Simu mbili mpya Samsung Galaxy S9 na Samsung Galaxy S9+. Mtaawasaba imefanya uchambuzi wa kina katika simu hizi...
9 Reactions
87 Replies
30K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Rasmi mtengenezaji wa App ya WhatsApp iliyoboreshwa 'GB WhatsApp' Atnfas Hoak amethibitisha kupitia ukurasa wake wa Twitter kuzima huduma hiyo na haitoendelea...
3 Reactions
55 Replies
7K Views
Android ni mfumo endeshi ulioanzishwa na mtaalamu aitwaye Andy Ruben. Kwa kawaida neno Mfumo endeshi kizungu tunaitwa Operating System. Andy Ruben ndio mwanzilishi wa huu mfumo endeshi wa android...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini Wakuu......Wenye ujuzi na Android Tv Box,vpi kuhusu ufanisi wake kulingana na internet yetu na maduka gani zinaweza kupatikana na bei zake.....naona ebay zinarange 3O-80$
0 Reactions
82 Replies
19K Views
Back
Top Bottom