Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hatimaye Huawei waanza kuitumia Os yao kwenye Smart Tv zao zilizozinduliwa rasmi huko Berlin Germany. Kuna uwezekano pia wa simu zao tarajiwa ambazo ni flagship kama Mate 30,Mate X na zingine...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
A Florida Resident Drove Around with a Cellphone Jammer for Two Years Before Being Caught Alyssa Bereznak Tech ColumnistMay 1, 2014 Many...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
.
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Jana nilienda crdb bank ili waniunganishe card yangu kwenye online purchase, sasa leo wamenitumia message inasema. Please register for VBV/ SECURE CODE in crdbbank.com, wamenipa access code, sasa...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
practice makes perfect, naomba kujua sehem kuna codecamp na meeting kuhusu software engineering kwa dar, pia kama nitapata patner wa kubadilishana mawazo itakua vizuri zaidi au hata internship
1 Reactions
10 Replies
1K Views
karibu.... the freedom is here karibu tena katika uwanja wa cybersecurity && hacking na n.k watu wengi sana wameniuliza private hii kitu na nikaona niweke wazi ukweli kuhusu hackers vs windows...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Muda sio mrefu,bingwa wa Android version updates na security patch level updates duniani, Nokia,anaachia simu zake mpya,kama Nokia 5.2,6.2,7.2,nokia 2720 flik, Nokia 800 na zingine ambazo bado...
5 Reactions
110 Replies
10K Views
Nina flash hapa imezingua kusoma mass storage sasa nilikuwa nahitaji tools kwa ajili ya hii flash niweze repair lakini sijafanikiwa kuipata kwa wazoefu naombeni msaada
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani mimi nina laptop yangu kuna tatizo limejitokeza katika laptop hilo tatizo ni juzi kati hapa nilikua nacheza gemu ikaanza kwenda slow na gemu ilikuwa inacheza vizuri tu NAOMBENI MSAADA JUU...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Verification
0 Reactions
0 Replies
461 Views
ERB
Wadau wa I.T Ningependa kujua kama kozi inayo tolewa RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY == COMPUTER SCIENCE IN SOFTWARE ENGINEERING inahusika na ENGINEERING REGISTRATION BOARD
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Nimeangusha Samsung S8 imepasuka naulizia Bei Ya kioo Yaweza kuwa Tsh ngapi?
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Nini maana ya scatter file Scatter file lina umuhimu gani Wapi tunatakiwa kutumia scatter file Namna ya ku backup file kutoka simu nyingine. Wataalamu muje munisaidie. mtwara tech, Davinci...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nahitaji kujua maana ya maneno yafuatayo 1)Boot key 2)Boot looder 3)Boot menu 4)Security Patch 5)Kernel version 6)Custom rom na Stock rom 7)baseband version
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Apple wame confirm kwamba itatoa kiasi cha USD 1 million kwa atakaeweza kui hack Iphone. Kazi kwenu wataalam wetu. Apple has massively increased the amount it’s offering hackers for finding...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Waungwana kuna anti virus naitumia kwenye PC yangu inayoitwa smadav nimejaribu kuscan naona naletewa ujumbe kama huo apo kwenye picha , lakin nikijaribu kufix hii ant virus inazingua naomben...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna pc ya mshkaji ilikufa mother board, ni hp 450 g4, wanataka kuiuza kama spare kwa mafundi Ram: 8gb DDR 4 Hard disk: 1 tb Kioo, keyboard, speaker, Dvd havina tatizo Battery liko poa Housing...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu kama headline inavyosema nina NOKIA 1 go edition mpaka sasa imeshia ANDROID 8.1 Shida itakuwa ni nini? Nawakilisha
0 Reactions
31 Replies
2K Views
kwa matumizi ya ofisini hasa ya rangi wakuu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu wakuu Samahani jaman mm nina simu KTouch sasa imeanguka na kuharibika touch hivyo haisense kabisa Sasa naomba kujua je kuna uwezekano wa kuibadilisha hio touch kwa kutumia touch...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom