kwangu natumia excel 2007, hii excel nimeizoea tangu zamani na nimekuwa mbishi kidogo kwenda kwenye hizi mpya.
Kuna bbaadhi ya madaili ya excel nikiyafungua huwa yana emoji, hapa excel yangu huwa...
Habari wana JF, karibuni kwenye makala nyingine na siku ya leo tutaenda kuangalia njia mbalimbali za kutumia simu ya Android ambazo huwenda kwa namna moja ama nyingine ulikuwa huzijui. Kumbuka...
Salam hope mu wazima
Ni hivi wadau huwa natumia chrome kuingia jf sasa tatizo nikiupload inaandika low memory wakati simuyangu ina spase ya gb 3(hapo namaanisha spase iliyo baki)wajuzi naomba msaada
Kwa yeyote mwenye kujua chochote kuhusu hii kitu tafadhali ushauri au msaada kwa lolote lile ambalo linaweza kunipa matokeo chanya...a/c ya skrill iko active tayari lakini shida nikufanya payment...
Habari.wanaTeknolojia
Nina wazo na tayri majaribio kadhaa yashafanyika nje ya mji na makaz ya watu. (porini)., LENGO la project hiyo ni kutrack magari kuyafuatilia ili kubaini madereva wazembe...
Habari wakuu poleni na majukumu..Nina simu yangu HTC DESIRE niliinunua kwa mtu kama miezi mitatu iliyopita na nikawa naitumia kama kawaida. CHA AJABU leo jioni nilivyoingia Facebook simu...
Mambo vp wakuu, mwenye ujuzi wa kuregister top domain na kui park kwenye blogger anahitajika.
Mawasiliano: Whatsapp:+254793543377, Email:flxjspht@gmail.com. msaada pliz. Thanks
Nitadesign website template ya kisasa kwa ajili yako au mteja wako,bei inaanzia 80,000/=
Nita design webpage inayovutia kuanzia e-commerce to news site or donation site.
Offer nitakutengenezea...
Hallo Tech Gurus,
Mimi hata Html sijui ndio naanza leo kujifunza nimeelekezwa website ya tutorial.
Ila lengo langu nikijua niishie kwenye app ya simu ya android.
Naombeni wajuzi mnipe njia ya...
Habarini wana jamvi!
Naombeni msaada tafadhari
Niko na pc yangu ya hp probook 6455b.
Mwezi mmoja ulo pita niliunganisha kwa redio kubwa nikawa nasikiliza mziki, baada ya kuchomoa waya spika za nje...
Habar wnajukwaa! natumai ni wazima wa afya!
Nimekwama kdogo nna simu aina ya samsung s6 edge+ imecrack kioo, so nahitaj kuweza kujua cost ya kioo chake!!
Then kuna ishu ya network nataka...
Habari zenu wadau ?? Bila shaka mu wazima kama una tatizo pole sana Mungu akufanyie wepesi urudi kwenye hali yako ya kawaida.
Nimekuwa nikifatilia sana kuhusu maswala ya kutengeneza fedha...
Habari za jumapili wanajamii forums naomba mwenye kufahamu jinsi ya kupata hizi frequency za TBc 1 na STAR TV Maana nashindwa kuelewa kama wamebadilisha amavipi mwanzoni ilikuwa zote zinaonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.