Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jana nilipata notification kuwa android 9 ipo tayari kwa simu yangu (Samsung galaxy S8) nikaweka kifurushi kisha nikapakua na ku install updats. Kweli simu ikapanda toka android 8 to 9. Pia...
0 Reactions
112 Replies
14K Views
Salaamu... kama kichwa cha habari kinavyojitanabaisha, kwa wataalamu wa soft ware mnisaidie. Simu yangu nikiwasha data tu inajilistart, nimei format na kufanya restoration mara kadhaa lakini still...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wadau kama hapo kichwa kinavyojieleza naomba msaada wa kupata Application nzuri ya kuficha SMS calls au photo kwa Android ukitaja jina lake kama ipo play store au link yake ya ku...
1 Reactions
25 Replies
13K Views
Salaam wanajamvi. Naomba kujulishwa namna hii au app inayotumika kuandika . Natakunguliza shukrani
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Msaada tafadhali, Wakuu simu yangu Samsung note 4 huwa haileti na haioneshi delivery report nikituma SMS. Kila kitu nimeset vizuri upande wa message. Pia haileti notifications za JF japo kila...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Kutokana na changamoto za umeme kukatika katika au baadhi ya maeneo kutokuwa na umeme Nimebuni mashine hii ambayo itamwezesha kinyozi kuendelea na shughuri yake ya kunyoa bila kujali umememe upo...
13 Reactions
25 Replies
8K Views
Wakuu poleni na majukumu.. Hivi kwa tatizo hilo hapo nafanyaje kulitatua na garama zake? Asanteni
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Tunafahamu kwamba kuna njia tatu za kutambua kama hii simu inakaa na chaji au la. Njia zenyewe ni "mAh", "nm" na "optimization". Katika hizo njia, njia ambayo simu zake bei rahisi ya "mAh". Kwa...
6 Reactions
25 Replies
10K Views
Hello Jforums ikiwa ni juma pili njema yenye kupendeza machoni kwa bwana,leo ningependa tuelimisha mawili matatu juu ya baadhi ya mitandao ambayo inaweza kukusaidia kwa namna moja ua nyingine...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Tengeneza website bila kuwa na ujuzi, copy link hii.... http://wapkw.net kisha jiunge kwa maelezo na msaada register kwenye website yangu, link...... http://sixters.wapkw.net
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cosota wanafanya kazi kwa vitengo?
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Habari wana Jf Kuna kitu ambacho kinakera sana pindi napoenda kufuata huduma mahali nakutana na huu msemo MTANDAO UPO CHINI najikuta nalazimika kusubiri mpaka masaa 3 na kuendelea, Yawezekana...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wazee simu yangu inakataa kuactivate iMessage inabaki ikisema Waiting for activation IOS Ipo uptodate Natimia wireless na nertwork ya kawaida ila bado Help me
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunatafuta NodeJs developer. Kuna kazi ya siku chache tuu. Kama una skills za kutosha ni PM.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba msaada kwa anayejuwa app ambayo naweza kutumia kununua vitu mtandaoni kama vile compyuta au phones. Iwe used au new but from nje km china au kokote. Ila iwe wanafanya biashara na watanzania.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Vodacom Tanzania wanazingua sana. Jana niliweka 20k yangu ya ngama mpesa ili nijiunge kifurushi cha internet cha wiki cha 10GB(kilikuwa 15k sasa ni 20K, dah! 🤦‍♂️), ambacho kipo located kwa menu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya kuweka Window 10 nikaamua kuweka software mpya kama vile Mozilla Firefox na Chrome ili nifanye kazi zangu. Cha ajabu kila nikitaka kuziINSTALL zinaniletea maandishi haya THIS APP CANT RUN...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natumaini wote ni wazima. Naombeni msaada wenu, sehemu gani Dar naweza pata Redmi airdot earbuds pamoja na bei yake..
1 Reactions
2 Replies
890 Views
Kwa nini hizi codes zinarudisha 'None'. Nimescrape kupata price ya hiyo item S%P 500 Index import requests url="https://www.bloomberg.com/quote/SPX:IND" biz_r=requests.get(url) from bs4 import...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wajuz wa mambo ya kompyuta naombeni msaada wa maelekezo nn nifanye. Kwny komputa yangu haifungui program na files zote. Yatito Ni nin hasa. Nimeambatanisha na picha halisi inavyoandika nikifugua...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Back
Top Bottom