Wajuz wa mambo ya kompyuta naombeni msaada wa maelekezo nn nifanye. Kwny komputa yangu haifungui program na files zote. Yatito Ni nin hasa. Nimeambatanisha na picha halisi inavyoandika nikifugua...
Habari, naomba msaada JF app yangu nikitumia kidogo inakuwa nzito sana kiasi kwamba lazima ni clear cache na kuclear data ndio naweza kulog in tena.
Msaada nifanye nn au tatizo ni simu
Katika Tanzania hii ambayo vyuma vimekaza.Sisi tusio na uzoefu sana na computer tunaomba uzoefu/njia na maujanja namna ya kuinstall program mbalimbali kwenye compyuta iwe ni laptop au desktop...
Wadau naombeni msaada
Nikishusha mafaili yangu ya takribani gb 8 kwa vifurushi vya usiku kuna muda internet inaweza ikakata na kurudi nikiwa nimelala, internet inapokata idm inaleta error kwamba...
Kama wewe unahusika na mambo ya IT, unaweza kutengeneza App na Web na mautundu fulani fulani nitafute.
Nina idea nataka tuifanyie kazi na kupiga hela.
Nicheck WhatsApp:
+255 620 34 34 17
Habar za majukumu wakuu, niende moja moja kwenye maada. Naomba mnishauri ni kipi sahihi cha kufanya napokuwa najenga miundombinu ya maji.
Ujenzi wa mtandao wa kusambaza maji unahusisha utandazaji...
Hivi kuna tofauti gani kati ya kozi zifuatazo...
Bachelor Of Science In Computer Science in Software Engineering na Bachelor of Computer Science
Na ipi kati ya hizo ni bora zaidi
Wakuu habarini
Napenda kujuzwa ili mpaka kwenye mtandao wa kijamii wa instagram uwekwe kwenye sehemu au category ya sponsored inatakiwa ufanye nini au inakuaje
> Misscalls and msgs.
Unakuta mtu anakutumia msg, halaf anakupgia kukuuliza "ile msg yangu uliipata?" meen! Tuko 2019 karne ya 21. Hili si swali la kuuliza.
Hz digital devices tunazotumia...
Habar za muda huu wajomba, naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu topics za algorithms na material yake kwa wanafunzi wa cs/ se/ ce wa vyuo hivi udsm, udom,dit. Niko open university IT ,topic ya...
Bila shaka umewahi kukutana sana na stori za watu kupandikizwa kifaa fulani cha mawasiliano mwilini, kisha kifaa hicho kikawa na uwezo wa kuwasiliana na kompyuta, kwa lugha nyepesi mhusika akawa...
Wasalaaam
Wakuu nimechukua fomu ya kujiunga na chuo cha veta kwa mwaka 2020 lengo langu nisome kozi ya HEAVY DUTY EQUIPMENT MECHANICS lakini nilipo kuja kuangalia form course hiyo haipo kwenye...
Wakuu habari zenu
Naomba niwasilishe kwenu tatizo ambalo limekuwa likikwamisha shughuli za uchapaji wa kazi mbalimbali, tatizo hili linatokana na printer yangu kushindwa kufanya kazi ukitaka...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
JINSI YA KIANDIKA KINYUME NYUME & JUU CHINI, BILA KUTUMIA APPLICATION YOYOTE
H∀┴∩∀ Z∀ ʞ∩ℲF∩∀┴∀˙
-Ingia Kwenye Browser Yoyote
-Andika...
Wadau kuna jamaa mmoja alinitonya kuna kampuni flan imeamua kutengeneza battery tofauti tofauti za haya masimu yetu brand ambazo zinakula sana chaji.
Hiyo battery inakaa na chaji siku 1 hadi 2...
Hello habari wanajukwaa.
Natumaini ni wazima wa afya njema.Bila kupoteza mda naomba niende kwenye mada. Ninauhitaji mkubwa wa kujua matumizi /kujifunza kwa kina jinsi ya kutumia Google map kwa...
Wanajf, mimi in mpenz sana was filamu za kihindi classics yaani nikimaanisha miaka ya kuanzia 50s to 90's. Nimekuwa nikitafuta sites zake lakini sizipati, YouTube huwa zimo tele lakini km...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.