Hallow:
Nawezaje kutengeneza auto increment student registration number kwenye database kwa kutumia JavaScript au php na mysqli
Mfano 1st registered student awe na
T.UDOM/0001/2019
2nd student...
Kama kichwa kinavyojieleza, nimeona free to air tv decoder inayoshika channel hadi 400 bila kulipia kwa maelezo ya muuzaji Aliye express, nikataka kujua kama decoder hiyo inaweza kunasa hata...
Hallow:
Nawezaje kutengeneza auto increment student registration number kwenye database kwa kutumia JavaScript au php
Mfano 1st registered student awe na
T.UDOM/0001/2019
2nd student awe...
hello guys...naombeni msaada..macbook yangu ni OS 10.7.5..appstore haina old versions za OS yangu.so nahtaji kudownload macbook apps kuptia google.ni websites gan nzuri au direct links niweze...
Najua zipo Taasisi na Makampuni za teknolijia zenye uwezo wa kubuni mfumo utakaozuia au kubaini kilipo king'amuzi kilichoibwa, lakini katika bandiko langu nimewataja DIT na VETA kwasababu kila...
Wakuu mambo vipi ivi hizi toll numbers zinafanyaje kazi na mana ni bure kupiga simu kwa hizi namba je kama nina kampuni na nataka kupata izo namba nazipataje?
Gharama zake je
Jaman nataka kununua simu mojawapo kati ya hizo...mwny kunijulisha kuhusu bei zake halisi kwa hapa Bongo na mwny ushauri wwte juu ya ipi ni simu bora kati ya hizo tusaidiane...
Habari waungwana.
Kuna ipad dada angu alikua anaitumia,na aliko saiz hapatikani muda wote.
Shida imekuja katika kutumia,nikitaka kulog in kwenye apple id inareques verification code .na hiyo...
Wakuu habar za muda mimi ni moja ya watumiaji wa mtandao wa ista kinachonikera ni videos ku play automatically kitu kinachofanya,
Kumaliza Mb's katika kipindi kifupi tuu.
Naomba kwa anaejua...
Wadau natumia Samsung tab 3. Nashusha muvi kutumia hiyo simu ila kinachonikera natakiwa kukesha usiku maana kila baada ya lisaa limoja yaani dk 60 net inajizima. Haiendelei hadi ni restart simu...
MSAADA | Anayejua namna ya kutengeneza File ( Picha ya Google ) ili Picha ( Likibonyezwa lin-redirect kwenda kwa url ( Website ) nyingine )
Mfano picha hapa chini !!
Msaada wa Haraka !!
Cc...
Habari za humu wakuu,
Nipo na pc yangu sasa kuna mtu aliweka flash yake kumbe ilikuwa na viruses, kinachofanyika ni kwamba wanakula kila application setups.
Kila application iliyo kwenye pc...
Wakuu natarajia kupata panel ya 150w, Battery 120ah na Charger Controller 15a, mahali ninakoenda kufunga umeme haujafika ila nyuma tayari ina wireling ya Tanesco, je wireling hiyo itafaa kwa...
Wajuz wa mambo ya kompyuta naombeni msaada wa maelekezo nn nifanye. Kwny komputa yangu haifungui program na files zote. Yatito Ni nin hasa. Nimeambatanisha na picha halisi inavyoandika nikifugua...
Wakuu nipo kwenye mchakato wa kuweka sawa site yangu niliyowetengeza kwa wp,nna issue moja kwenye related post, nilihitaji zikae chini ya post lakin hii inaonekana pembeni ya post.
NILICHOGUNDUA KUHUSU PROPELLER ADS
Propeller ads huu mtandao hulipa bloggers Kutokana na kila mtu anaye tembelea blog yake.toka nijiunge na mtandao huu nimekua Niki ambulia $0.00 kila nikijaribu...
Wadau,
Naombeni mwenye kujua inapouzwa, au anayeuza, miwani ya anti-blue rays kwa ajili ya kutumia kwenye kompyuta anisaidie. Angalau niipate Dar Es Salaam au Bagamoyo.
Mawasiliano
0759947397...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.