Nina program ya Adobe Photoshop version ya 2019, lkn nikijaribu kufungua ina load tu haifunguki.Tatizo Ni Nini au nifanyeje ili iweze kufunction km mwanzo.Ahsanten
Habari za muda huu wanajamvi, hope mko poa.
Simu yangu aina ya Samsung galaxy ukiplay video au audio hata radio inaplay sekunde kadhaa halafau inapause yenyewe sijui shida ni nini wadau...
Habari, naomba msaada JF app yangu nikitumia kidogo inakuwa nzito sana kiasi kwamba lazima ni clear cache na kuclear data ndio naweza kulog in tena.
Msaada nifanye nn au tatizo ni simu
My PC inataka kuactivate window but nikitumia window loader kuactivate inazingua sana inaniletea Maelezo mengi kwenye ile notepad sasa nimeshindwa kuelewa nifanyeje msaada wakuu nafanyaje
Wakuu Nina HP tajwa hapo juu ina pes 2017 lakini kila nikiifungua inagoma inataka 0xc0000b7 nimehangaika sana namna ya kufix hilo tatizo ili game ifunguke nimeshindwa , mwenye ujuzi na mambo hayo...
Protect your charging cables like you protect your passwords, say cybersecurity experts.
We've all been there. Your smartphone or tablet is low on power and you've left your charging cable at...
Heshima kwenu wakuu.Nisipoteze muda napenda kuleta mrejesho kuhusu hizi simu zinazouzwa Kwa bei ya promosheni ni kisanga baada ya simu yangu kuleta shida ya display nikairudisha kwao Tigoshop...
Hapa nilipo nimepagawa si mchezo dogo amedondosha simu yangu. Iphone 5kioo. Kime crake ila inafanya kazi! Naombeni msaada wapi naweza kupata kingine ambacho ni original na bei yake! Nipo dar...
Habar wakuu, kama kichwa cha habari kinavojieleza.. Iphome yangu mepasuka kioo baada yakuidondosha, nafikiri kuhusu kubadili kioo ili irudi kwenye mwonekano wake wa awali.
Naomba kupata ushauri...
Habari wakuu. Hili toleo la iphone kwa sasa ni kama simu ya kitochi japo kwa kuitazama ni kasimu fulani hivi kazuri. Tatizo hakapokei apps kama whatsapp na zingine. Najua kuna maguru wa...
Habari waku... Moja kwa moja niende kwenye mada.nilikua naomba kufahamishwa, kama nimeibiwa au kupoteza simu ya IPHONE naweza kuipataje? Maana naskia hizi cm ni rahisi sana kupatikana pindi...
Habari wana jamii forum naomba msaada mwenye kujua kioo cha simu ya sumsung galax s8, au housing na kiooo maana kimepasuka chambele na cja nyuma , simu yangu imepasuka kioo ikiwa bado mpya naomba...
Msaada nimetengeneza school system kwa kutumia php html na mysql sasa shida niliyonayo ni nawezaje kutengeneza login system ambayo itawafanya wanafunzi waliokwisha sajiliwa kujisajili kwenye...
Simu yangu ya samsung note 5 imepasuka kioo kwa ndani na kupelekea kutoonyesha chochote kwahio natafuta kioo full ambacho kinafanya kazi mwenye nacho please bei inbox au hata kwenye comment
Telegram haitaki kuconnect ingawa ishakuwa downloaded katika simu yangu iphone 6plus"check connections or proxy address sielew elewi hapa ndio nini hii ?
Kusema ukweli, kwenye haya maswala ya intaneti— naweza kuwa kati ya wahenga nchini hapa; maana nakumbuka matumizi yangu yalianza mwanzo wa mwaka 2000, nikiwa bado mdogo sana. Enzi hizo nakumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.