Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Za siku wanajamiiforums.. MsAada Simu yangu Aina ya tecno y3s haimalizi kuwaka inagandia kwenye neno smart life
1 Reactions
0 Replies
579 Views
Natafuta duka linalouza vifaa vya computer network kwa Njombe au sehemu nyingine kama wanatuma njombe nipate mawasiliano
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Cheki hapa..
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Sisi wapenzi wa nokia tulikuwa tunasubiri mapinduzi kwenye upande wa camera department kama ilivyofanyika 2012 na pureview technology. Tulishuhudia simu ya kwanza duniani kuja na megapixel 41...
5 Reactions
68 Replies
8K Views
Kama kuna mtu ana Uzoefu wa microphone na camera za kurecodia vipind naomba anisaidie bajeti yake wadau
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nashindwa pokea baadhi ya meseji katika makundi ya watsup. Naomba msaada wa suluhisho la tatizo hilo
0 Reactions
3 Replies
849 Views
Specification ni kama inavyoonekana pichani, IPO katika hali nzuri kama inavyoonekana hapo pichani. Kuna baadhi ya software ni installed kama Office HDD 300GB Bei 390K
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji display ya simu tajwa hapo juu iwe mpya au hata used very agent.asante
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Heshima kwenu wakuu. Nafahamu kuwa jukwaa hili limejaa watu wenye utalaamu wa aina mbalimbali. Nataka kutayarisha booklet dongo kabisa ambayo unaweza kuiweka hata kwenye mfuko wa shati ,lakini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Samahani wadau nahitaji kujua zaidi kuhusu mifumo mbalimbali MF human resources management system stork management system , nk nachotaka n elimu ndogo tu kuhusiana na haya masuala MF faida...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hello members naombeni ushauri wa kupata simu nzuri....Bajeti yangu ni laki nne, Hijalishi simu itakuwa pungufu ya hio bajeti, Naombeni ushauri please
0 Reactions
50 Replies
9K Views
*****†********
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natumia infinix S4 ina ram 3gb, storage 32gb, camera ipo safi, nataka kununua simu iwe inazidi sifa hii yangu, nina bajeti ya 400000,au kama kuna mtu anataka exchange sawa ila awe na simu juu hii...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakuu naomba kuuliza,nimebadilisha simu baada ya simu yangu ya awali kukataa kuwaka,hivyo nimefungua account ya whatsApp kwenye hii simu mpya kwa namba ile ile ya kwanza,changamoto ni kuwa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Source: http://mtanzania.co.tz/mtafiti-abuni-kitasa-kinachofunguliwa-na-simu/ CHRISTINA GAULUHANGA – DA ES SALAAM Mtafiti kutoka Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Filbert James, amebuni...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Asalam alaykum/ Halleluya....poleni kwa majukum ya kazi .....Kwa anaefahamu ufanyaji kazi wa iyo meegopad T09 msaada tafadhali
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za muda wakuu, Nimejaribu kulipia moja ya post yangu ya kwenye page ya facebook ili iwafikie watu wengi zaidi ila inaandika [emoji116][emoji116][emoji116]....Je nifanyaje au tatizo nini...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini wana tech. Naombeni msaada wa namna ya kutengeneza database itakayokuwa na taarifa za wanafunzi wote. Nina ufahamu kiasi chake na excel. Je nitumie application na namna rahisi ya...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
jinsi gani ninaweza kuondoa (disk read error) wakati wa kupiga window kwa njia ya flash...maana ni shidaa sana pia kompyuta yangu...hujuizima pindi Niki (restart) tatizo nini...msaada wataalamu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta Wauzaji wakubwa wa computers na Vifaa Vyake hapa tanzania naweza kuwapata wapi Na Ofisi zao Zipo wapi kwa Hapa Dar es salaam
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom