Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
habari za muda huu wakuu,nina printer aina ya HP Deskjet 2130All-in-One,nina print kazi zangu vizuri tu, ila ku scan document ile app kwenye desktop haifunguki kabisa,na hii imenitokea kwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za muda huu ndugu jamaa na marafiki popote unapo usoma uzi huu Lengo kuu ni kujuana fani zetu kati ya baadhi nimeorodhesha hapo juu ili tuweze kuelezana changamoto, faida na hata kupeana...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Nisaidieni namna ya kulog out ,ili nisipate jumbe hata Kama data ziko on
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Computer ya kazi imepatwa na Hitilafu Tatu. 1.kushindwa kufungua document na kuniandikka maelezo kama haya .. 2.Computer inaonesha ni kiasi gani imeingiliwa na virus.. 3.Nikiwasha data au...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau uwa natumia hiko kifaha hapo chini kuingilia kwenye internet sasa bando likiisha uwa naona tabu kutoa laini kuweka kwenye simu na kuinga bando kuitoa tena kuirudisha humo,swali hamna...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Pc yangu Hp 250 g5 niliichaji siku mbili mfululizo... Siku ya tatu nkakuta ina ttzo kukaa na chaji. Yaani nikiondoa tu charger inazima... Umeme tu ukizima na yenyewe inazima Mwenye ujuzi wa namna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naweza ku copy kitu facebook, au facebook app ambayo nitaweza ku copy post za maandishi kutoka fb
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Salama wakubwa Mi ni mdau wa Apps, nimefanikiwa jitahidi develop app inaitwa video 4 me iko playstore tayar inadeal na videos. Sasa kazi kubwa ilikua ni kuipromote ili ipate installs. So nikaona...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habar zenu wana jf,naomba msaada wenu kwa jambo hili, siku chache zilizopita niliapply chuo cha udom kupitia internet cafe,jana nilijaribu ku-sign in ili kuangalia taarifa zngu cha kushangaza ile...
0 Reactions
1 Replies
561 Views
Habari Wakuu naomba msaada wa firmware ya hii simu "Vodafone Smart Mini 7 - Model VFD 300" Nimetafuta kwenye site mbalimbali bila mafanikio Asanteni
0 Reactions
27 Replies
13K Views
Simu yangu Ni aina ya HUAWEI Rio_LIO,juzi Kati ghafla play store imekuwa haina kitu na haifanyikazi Kama hapo awali.msaada wa namna ya kurejesha program hiyo ili afanye kazi kwani hata YouTube...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
This Ads Manager WP Plugin has built in click fraud protection for third-party ads such as Adsense that allows you to hide the ad after it has been clicked x times by the same visitor. Hii...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Habari wana JF, kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanasumbuliwa sana na meseji za promosheni basi hii hapa ndio njia rahisi na ya haraka ya kuzuia meseji hizo kuingia kwenye simu yako. Njia hii ni...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Naomba mwenye kuelewa tatizo la Bluetooth kwenye PC naona wananiandikia kama picha inavoonesha apo, naomben mwenye kujua aniambie shida nini na kipi cha kufanya apo manake nahangaika kuwasha...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nikiingia app ya camera inaandika " cant connect to camera. Please close other applications which may use camera or flashlight" Nimejaribu alternative kadhaa 1 nimerestart simu 2...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna mabandiko kadhaa yanayoelezea kuhusu kuearn money online kwa kufanya kazi mbalimbali kama translation nk, baada yakupitia mitandao kadhaa nikakutana na ile inayoweza kuearn money through...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari za muda huu wataalam. Bila shaka kila mtu anaujuzi katika eneo fulani na kaupata kutoka sehemu fulani.....Kupitia ujuzi huo naomba kufahamishwa machache kati ya haya nisiyoyafahamu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Aje anipe uzoefu wake nimeikuta mahali huku mtandaoni inapendeza naona ina features kama za andoid. https://getintopc.com/softwares/operating-systems/phoenix-os-x86-free-download/ cc...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kindly hit my inbox if you feel your up to the challenge,the system is already up but definitely need to twik it to suit the tanzanian market, translation to swahili, user interface2
0 Reactions
8 Replies
1K Views
NDOTO YANGU NI KUWA CUSTOMER CARE SERVICES KATIKA KAMPUNI ILA SIJAJUA NI KOZI IPI ITANIFAA MAANA NINA ADVANCED CERT, YA MASS COMMUNICATION & JOURNALISM
0 Reactions
1 Replies
607 Views
Back
Top Bottom