habari wanajamiiforums ,nna simu tecno w4 nikiiwasha inaandka tecno af inazma ukiwasha tena bado inakua ivo ivo,nmejarbu kuifanyia hard reset ila bado n vile vile
Sijuagai developer wengi wa TZ tunashida gani, Tunaishia kutegeneza vi-blog tuna ng'ang'ana na GOOGLE ADs , Website za shule na taasisi na vi-system vya pharmac na HR tunapewe ela za kujikim...
Yaani uvumilivu umenishinda. Nimesubiri 4G internet ya Airtel mpaka nimechoka. Simu zangu zimekuwa zina support matumizi ya internet ya 4G, lakini Airtel wamenifanya nizitumie kwa udogo.
Nihamie...
Wakuu habari za majukumu nimekuwa nikipata notification kwenye twitter za watu mbalimbali lakini kuanzia Jana nimeshindwa kupata notification yoyote,nilijaribu google nikaambiwa niende kwenye...
iPhone inauzwa ni iphone 6S+ GB 64
Offer yangu ni kwa 450 Tu location Dar unakuja tunaonana ukiridhika nayo unaichukua No Exchange Kwa anae hitaji Aje PM...
Multiplexer ni kifaa ambacho kazi yake ni kuchagua ingizo moja kati ya maingizo mengi katika mfumo wake.
Multiplexer hua ni kifaa chenye maingizo mengi(inputs),ambapo input hizo zinakua kila moja...
Habari za muda huu wadau,
Niombe msaada yeyote anayeweza kunisaidia namna ya kufahamu/kupata password (numeral) niliyoisahau. Kuna taarifa mhimu nimehifadhi humo hivyo nimeshindwa kufungua...
Habari wakuu wa mjengoni, natumai mpo frexh na mishe mishe za kila siku,
Niende moja kwa moja kwenye pont:
Naam, ebana katika dunia ya sasa teknolojia imekuwa ni kipaumbele katika sekta nyingi...
Habari cm yangu inashindwa kuinstall app na ukidownload video au audio inaandka memory full wakati kuna free space 400mb nimejarb clear cache na clear data kwenye play store bado inagoma wakuu...
Naomba msaada kwa anaefaham kuhusu watch hours youtube maana niliwah ambiwa humu ukiwa na watch hours zaidi ya 4000 unaeza sign monetization contract na youtube ukaanza kulipwa.
Picha nilizoweka...
Habari wakuu vipi ubora wa hizi tv za Singsung kuanzia kwenye tv zao za kichogo hadi Flat screen?
Hapa nazungumzia quality ya picha na ubora pia wa hizo tv
Computer yangu ukifanya updates ya drivers inagoma kabisa, Baada ya driver kuinstall huwezi hata connect [/moderm/] hapa mpaka nirestore system tofauti ndo inakubali>>> nimejaribu kufanya updates...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.