Siwezi kuelezea sana ila naanza kwa kuwakaribisha madevelop tuanze mijadala..
sito elezea saana Css na Html ni nini ila kama ni mjuzi utakuwa umeshafahamu.
<!DOCTYPE html>
<html>
<head>
<style>...
Nuclear power ni moja ya njia zinazotumika kuzalisha umeme, lakin kumekuwa na changamoto kubwa katika nchi nyingine kuitumia.
Sababu mojawapo ni gharama za kuhifadhi high radioactive waste kama...
Apps za WhatsApp na Instagram ambazo zinamilikiwa na kampuni ya Facebook, zipo njiani kufanyiwa mabadiliko ya majina.
Inasemekana uamuzi huu umelazimika kufanyika kutokana na...
Nimetoka kuangalia EATV kipindi cha ubunifu lakin nimeshtushwa watu wanatengeneza Internet of things applications wanaita ubunifu serious.
Internet of things (IoT) applications kama smart home...
Habari wana JF, ni muda mrefu sana umepita toka kuandika makala kupitia JF lakini tumekuwa wasomaji wakubwa wa baadhi ya maswali ya watu. Siku ya leo tumekuja na ombi la muhimu uweze kutusaidia...
Ninahitaji website nitakayoitumia kutoa masomo afya kwa kiingereza kwa lengo la kupata pesa na kutoa Elimu Ya Afya.. Kama unauwezo wa kunitengenezea.... Weka namba nikutafute
Why full justification on the web is a bad idea
Printed standards
Although digital text has been with us for a long time, both on websites and on displays of various types of mobile devices...
Habarini wakuu, samahani laptop yangu imepata shida kidogo naomba mnisaidie.
PC yangu nikiiwasha inakaa na moto dakika 20 then inazima suddenly (ghafla).
Ninatumia external source power yaani...
Habari za asubuhi wana JF.
Nina somea computer science level ya degree, nahtaji kufahamu material,njia Na sehemu ambayo nitapractice hizi cozi vizuri kwa muda wangu wa ziada pia naomba guidance...
Naombeni msaaada simu yangu tecno w2 ina matangazo mengi sana kila napofungua data
Tatizo hili ni kero sana yani unakuta ads zinarundkana kila napotaka kuingia au nikiingia kwenye browser,apps au...
Habar za wakat huu wakuu na wadau wa jf hasa upanfe huu wa tech!
I hope wote mko poa na mnapambana na shughuli kama sio kazi au majukumu ya kila leo
Baada ya salama nikuelekeze kwenye kichwa cha...
Kwa wenye kufahamu tafadhali simu yangu ya Tecno C9 miezi miwili iliyopita ilikuwa imepata tatizo la kuwaka hadi pale inapoandika neno Hios optimizing 1 app of 1,bila kuendelea na itakaa hapo...
Wadau hii simu inanipasua kichwa na hii tabia ya kuzima na kujiwasha inavyotaka yenyewe....
Tatizo huwa linaanza nikiwasha tu data, inaweza tulia kwa muda ila nikigusa tu baadhi ya app basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.