Hope mu wazima wa afya weekend hii...
Lengo la huu uzi ni kutaka kaujua mambo ya muhimu ya kuzingatia wakati wa kununua simu has a iPhones kuanzia specifications, model,ubora wa betri na mengine...
Wakuu naomba maelekezo jinsi ya kutuma salio kwa jamaa mwenye Airtel kwa kutumia USSD code zinazoanza na * (star), kama ilivyo ya tiGo; yaani: *101*number*amount# {kisha send}.
Naomba maelekezo...
Wakuu nimeibiwa simu aina ya Samsung Galacy A9+.
Sikuwahi kutunza IMEI yake na wala siijui, je nawezaje kuifanya useless ili aliyeiiba asiweze kuitumia?
Msaada please.
Wakuu habari za muda huu, naomba msaada simu yangu tajwa hapo juu inasumbua sana yani ni nzito kiasi ambacho hata kufungua files ina delay kwa muda ndio ifunguke natamani kuivunja.
Kutokana na...
Habari humu…
Nimeshindwa ku access profile langu Instagram..
Inavyoelekea mtu kali hack..
Maana sipewi option ya if 'it was you ama wasn't you'' kama ambavyo unge expect Instagram inavyofanyaga...
Habari wakuu,
Simu yangu samsung j4 (pichani) imepasuka kioo,imepasuka camera ya nyuma, je inaweza kutengenezwa? Naomba kujuzwa gharama yake inaweza kuwa kiasi gani?
Kama kichwa kinavyojieleza
Mimi ni mpenzi sana wa games Ila katika kucheza games baadhi ya game zinakuwa Kama zina gandanda hivi niikambiwa ram ni ndogo kwa bahati mbaya Sina ufahamu wowote juu ra...
Hello,
Naomba msaada kwa yeyote anayezijua the best software (programs) au systems kwa ajili ya kufanya Data Entry.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Kutokana na kupanda bando za mitandao mbalimbali hususani university offer ya voda,kuna watu wanajitangaza kwenye social network mbalimbali kwamba wanauza vifurushi vya wafanyakazi wa voda kwa bei...
Habari,
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nilinunua router ya halotel kipindi wanaanza huduma zao, mtandao ulikua na speed na package zao zilikua poa sana,
Kwa sasa nao wamekua slow sana na...
Habari yenu wana forum.
Ninaomba msaada wenu kwa hii modem ya Halotel maana nikijaribu kuiunga na dlink router via usb port inagoma hata nikiconfigure router, mwenye anajua tafadhali anisaidie.
Wengi wamekuwa wakihangaika kutafuta bank bora kwa ajili ya kuweza kufanya online shopping
Msihangaike tena bank abc na uba wanatoa card za bank ambazo tayari zimewezeshwa kutumia hio huduma...
Hello ,wadau huwa nashangaa sana kwenye taasisi kama hizi zinazoweka namba za simu ya mkononi kwenye website zao halafu unawapigia zaidi ya mwenzi mzima hawapokei ,huwa wanamatatizo gani...
Hello guys tafadhali mwenye kufahamu wapi nntapata spair ya SAMSUNG FLAT TV inch 32 na Bei yake naomba nijulishwe nntaipataje nipo GEITA
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
Wadau mwenyewe kujua materia gani yanaweza kusafisha renzi ya camera ya sm
Tatizo renzi ilibanduka mda wa kurudishia fundi akatumia super glue kwaiyo renzi ikaweka ukungu kwenye kilo cha camera...
Jamani naomba mnisaidie jambo moja, shida yangu ni kwamba namba yangu ya halotel ninayoitumia katika mawasiliano imekuwa na tatizo yaani kila anaejaribu kunipigia inajitaka yenyewe kwake na wakati...
Watafiti wa masuala ya usalama katika kompyuta wamekgundua kuwa kuna applications zilizopakuliwa kupitia Playstore zinazofungua matangazo bila ya mtumiaji wa simu kutambua
Application hizo...
Najiuliza sipati jibu. Je lengo la kampuni ya Samsung ni kutaka hizi simu zao high ends zisitumiwe na watu wenye miili midogo au ni nini?
Kuanzia Note 8, Note 9, Galaxy S9, S10 sasa S10+ hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.