Wakuu habari.
Nina shida ya kutaka kujifunza ufundi wa simu hususani Smartphone kwa upande wa Software problems.
Shida ni kwamba sina uelewa kuhusu mambo yahusuyo masuala haya. Hivyo basi naomba...
Nimepita madukani natafuta simu aina ya TECNO POUVOIR 2 PRO, nikakutana na brand 2 za simu hiyo hiyo. Naomba kujua kwa wataalamu mnaozijuq ni ipi kati ya hizi mbili ni ORIGINAL ili nisipigwe. Zote...
Galaxy s7 edge ina onesha vivuli kwenye kioo.
Bado sija jua kama hili tatizo ni issue ya software au hardware.
Nimepitia google na youtube, sijapata suluhisho la hili tatizo.
Kuna mda vivuli vina...
Wakuu wa jf habarin za mida,wakuu mwenye kujua jinsi ya kuroot infinix hot 6pro anisaidie nimejaribu baada ya kufata mlolongo wote lakini haikubali nafeli wapi? Wajuzi mnielekeze [emoji120]
Simu yangu ya Iphone6 leo ni siku ya tatu sasa nikipiga simu au nikipigiwa simsikii mtu anayenipigia au ninayempigia ila yeye ananisikia vizuri. Kinachonishangaza nikirudia tena kumpigia au...
Straight to the point, tab yangu inaonesha ina run outta space, ukicheck hapa apps ndio zimechukua nafas kubwa na sina apps za kutisha. What should I do??
Habari ya jioni wakuu,kuna smart TV inakama wiki inasumbua kuwaka kwa njia ya umeme wakawaida,ilianza ukiiwasha inatokea logo ila rangi ya screen inafifia kama vile umeme ni mdogo kisha baada ya...
Wapendwa habari, naombeni kuuliza. Katika suala la kutoot simu za kuanzia version 6.0 zinatumia pc. Na maelekezo yote yapo na pia wanasema uwe umewasha network. Sasa je km ni mtu anayetumia...
Habari wakuu...nina iphone ya kutoka UK iko locked kwnye vodaphone UK NETWORK,kwa anayejua njia za kuifungua naomba msaada please.
Kama ni kuorder online unlocking service kwa 3rd party...
Wakuu kwema? Aisee mimi ni mtumiaji mwaminifu wa android phones, hasa samsung, ila nataka sasa kujaribu kutumia iphone, ila kuna vitu ningependa kuvijua kwanza kwenye iphone
* Nimesikia ukitaka...
Nimekuwa nikitumia Gb watsapp kwa muda sasa lkn juzi nimekutana na hii kitu, kiasi kwamba kwa sasa siwezi kiaccess whasapp hii, nimejaribu ku unstall na kuinstall lkn hakuna badiliko, nifanyeje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.