Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Natafuta cm aina ya LG G4...Kwa yetota anaeuza iwe used au mpya anitajie bei yake halaf anicheki kwa namba hii 0628497031...Ahsante.
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna feature moja mwenye ios ambapo unaweza zuia app yoyote isi access internet. Nimejaribu kwenye android lakini sijapata namna naona kuna stop app from running in the background lakini app kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hatimaye rasmi ndani ya sumsung sasa [emoji23]
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wanajamvi hamjambo... Nahitaji kununua simu yenye black background maandishi yanakuwa meupe ninapoandika sms. Ninayo simu ya aina hiyo lakini haisupport baadhi ya application. Je ni simu gani...
2 Reactions
94 Replies
14K Views
Habar za wakat huu wakuu Moja kwa moja najielekeza kwenye mada huska kama inavosomeka hapo juu hivi hawa watu wa halotel na airtel wanawaza nn mpka mda huu hawajaketa 4G wakati dunia now iko...
0 Reactions
92 Replies
12K Views
China inakimbia kwa kasi ya ajabu hadi Marekani anaamua kufanya vita
1 Reactions
6 Replies
978 Views
wanakuletea mwonekano mpya wa simu ambayo camera yake ipo chini ya kioo .... fungua link kwa maelezo zaidi [Xiaomi Weekly News #10] Xiaomi Under-display Camera Technology Coming, Mi Band 4 and...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Msaada ninaomba mnipe muangaza kuhusu simu hizo zinazodai secure boot download agent file CHIEF MKWAWA kcamp Castr agudev Mtwara Smart Mgg3
0 Reactions
4 Replies
886 Views
if you know where is it found in Tanzania tell me ,I need it for my work as it has been explained below(kama unafahamu inapopatikana nchini nusisite kunijuza maana ninauhitaji nayo) Designed...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF, Leo nimekutana na ubishi kidogo kati ya mtanzania wa kawaida na mtanzania anajeua maswala ya teknolojia. Mtanzania wa kawaida alikuwa anasema yeye anachoangalia kwenye simu ni...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa kupata kioo cha simu ya tekno phantom 6 ningependa kujua bei na mahali naweza pata natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mambo vipi wana tech?? Kuna simu yangu tecno f2 nataka kuiza ila inatumia laini ya voda pekee kweye sim1, naomba maujanja yakuweza kuifanya itumie laini zote. Asanteni
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Wakuu naomben msahada jins ya kutrack simu ...shida so kuipata simu ni kwamba mwizi kaiba simu,pikipiki na pesa taslimu laki 4 .... Kwaio naomb njinsi ya kufanya nimpate uyo mwizi Simu...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
the division 1 hii imetoka March 8, 2016 the division 2 hii imetoka March 15, 2019 cc Chief-Mkwawa the great wizard @k-camp
0 Reactions
17 Replies
2K Views
The GPS is owned and operated by the U.S. Department of Defense but is available for general use around the world. Tuvisusie vitu vyao hawa mabeberu...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Another must read
0 Reactions
5 Replies
897 Views
Kama kichwa Cha habar hapo juu! Ninayo TV tajwa hapo juu nilipoinunua haikua na decoder Ila ikaunguza mother board ikabidi Ninunue motherboard mpya! Motherboard hii niliyouziwa inaonekana Ina...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Wakuu nataka ninunue Jokofu, la matumizi ya kiseja lisizidi bajeti ya laki 4. Brand ipi ni nzuri zaidi, na wapi naeza pata kwa dar es salaam ?
1 Reactions
58 Replies
8K Views
Habari zenu wanajamvii... Simu yangu spark 2 KA7 katika harakati za kupanga vitu imedondoka na kioo kimepasuka sana ila bado inafanya kazi vizuri tu.. nauliza naweza kupata kioo kipya kuirudisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waku habari zenu ni matumaini yangu mpo poa Niende kwenye mda moja kwa moja nina mpango wa kufungua blog yangu hii ni kwajir ya kuongeza kipato pia nina muda wa kufanyia kazi iyo blog mana muda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom