Jamani napenda kuwauliza kuhusu kutumia CPU moja kwenye monitors tofauti ili kila moja ili kila client aweze ku access services mbalimbali make hapa nipo hapa nataka kufungua internet cafe msaada...
Hii Printer nimetumia ujuzi wangu wote nimefail, nikiangalia nimeshapiga window 8.1 kabla ya kufanya updates yoyote ile hata ya drivers niliifanyia kazi , nikaprint bila shida lkn leo hii imezogoa...
A forum about the latest OLDMOSHI news. This forum that brings together members of all backgrounds and from all corners of the world to discuss and share ideas and information about matters...
Habari za leo wana jamvi! Mimi ni kijana niko college shida yangu ni kwa wataalamu kunipa tips flan muhimu katika kujifunza kutengeneza carton animations kama hizi hapo chini. Nimeona ni vema...
una link kwenye page yenye jina flani then someone anaclick on that link inampeleka kwenye page inaitwa copy ikionyesha
mfano wa link hii
http://www.mathjery.com/copy?tmn=OA%3D%3D
unafikiri ni...
Jinsi ya ku verify website yako ama blog ktk propellerads verify your blog!
Wadau hivi baada ya zile codes mfano <metatag="propeller.html0078"> na wameniambia ni paste chini ya tag ya <head>...
Kwa wenye uzoefu na android, je ni simu gani yenye android ambayo ni bei rahisi na iko sokoni?? yani kuanzia laki mpaka laki na nusu??
na je ni nan anajua jinsi ya kuiunga HUAWEI ASCEND Y200 uwe...
I need to develop a human computer computer interface. This interface should specifically be capable of working with the human brain directly or indirectly.To develop that interface I need first...
Tunaocheza game la boom beach tukutane hap, dah! Hili game nalipenda sana nimeanza kulicheza tangu 2016 till now, ni online game hivyo download na uenjoy
Naamini mpo salama,poleni na majukumu,kama nilivyoeleza niliweka password kwenye simu na nimezisahau nimejaribu kurestat imekubali ila bado inanidai password simu ni Tecno pover air 3
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.