Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wale walionirequest hii new patched IDM unaweza idownload hapa. link MEGA au HAPA Hii ni program ambayo kila mtu anaifahamu sema tu inatofautiana versions na patch zake. Ila kwa wasiofahamu hii...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimekiona mtandaoni kinauzwa. Je, ni kweli internet yake ni bila bando? Au kinafanyaje kazi? Maana kimeandikwa free internet. Please help me!
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hiyo inatokana na kushuka kwa mauzo ya simu hizo. Idadi ya mauzo imekuwa ikishuka miaka hadi miaka na kupelekea kupotea kwenye soko la dunia. Wameamua ni wakati sasa wa kuwekeza resource upande...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimefuta app ya WhatsApp kwenye simu yangu W3 Lite, nimeistall upya nifanye registration imegoma. Hatua ya pili ya kuweka namba ili ifanye registration inagoma. Naombeni msaada nifanye nini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF. Naomba msaada kwa yule anayejua jinsi ya kuweka Audios & Videos kwenye blogger (blogspot) ili watu waweze ku-download! Msaada please.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nashindwa kutuma email kwa Customer Care wa Samsung Account. Iko hivi, kuna fomu nimejaza ila kwenye sehemu ya kuweka return email nikiweka email yangu na kusubmit, inakuwa rejected na...
0 Reactions
2 Replies
969 Views
Hellow members! Nipo somewhere hapa kuna mrembo kanizoea sana. So this time kaja na kasimu chake kitecno Y3 (zile version na kitambo kidogo), nataka nirestall hiyo simu yake. So wadau naomba...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu, nahitaji simu Naomba ushauri kwa uzoefu wenu, kati ya Techno camon 12 Vs Inifinix ipi bora zaidi? Hapa nazungumzia katika ukaaji na chaji, uharaka katika kufanya vitu na kila...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadau, wajuvi na wenye uelewa na uzoefu wa idara hii ya vinga'muzi naombeni ushauri wenu Nahitaji king'amuzi bora kabisa ambacho sihitaji kulipia chochote kwa mwezi na nitaweza kupata chaneli...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Habarini wakubwa! Naomba msaada wa namna ya kuboost tangazo kwenye page ya Facebook. Siku nyingi nimekuwa nikijaribu kwa kufuata hatua zote lakini naona jitihada zangu zinagonga mwamba. Naombeni...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Pole na kazi. Kama developer wako wa app siyo mwenye hii namba +919780110865 basi mshukuru Mungu. kama imepita kwa huyu dada na ina fb ads basi itafungiwa Interstitial ads kwanza baadaye itapigwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kampuni hiyo ya kichina imeweza kuipa simu yake uwezo mkubwa wa betri kutunza chaji zaidi. Betri hiyo yenye uwezo wa 10,010mAh ambayo kwa matumizi inaweza kukaa siku 4 mpaka sita bila kuchaji...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wataalam wa humu ndani naomba mtujuze ni yapi tunapaswa kuzingatia tunapotaka kuagiza simu za mitumba (pre-owned) zilizotumia Marekani na Ulaya na hata kwengineko. Nilisikia tetesi kwamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kuna jamaa nilimpatia flash 32 GB, baada ya kunirudisha ikawa haiingizi wala kutoa vitu. Mwenye kujua jinsi ya kuifungua naomba anielekeze.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naomba kuuliza namna ya kufanya Facebook live streaming au broadcasting kwa kutumia Camera ni vitu gani vinavyohitajika ili kufanikisha hilo? Nisaidieni wataalamu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari. Nilikuwa naulizia application gani naweza kuifanyia rooting simu yangu ni Samsung S6 Edge Plus, Android version ni 7.0.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu simu yangu hii nimeitumia takribani mwaka mmoja na miezi mitatu. Ni Samsung A8 band LTE ya single simcard. Week moja iliyopita nilikuwa nimelala nimeicha mezani sasa ni kama kuna mtu...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Wazee, Nimedownload firmware ya simu yangu na kuiflash kwa miracle box lakini imegoma kuwaka kabisa kheri wakati sijaflash baada ya kuflash nimegundua files ni za Tecno Cx Air lakini mwishoni...
2 Reactions
17 Replies
6K Views
Wadau habari za majukumu. Nina bajeti ya laki 2 nahitaji kununua simu. Je naweza kupata simu nzuri ya Samsung? Naombeni ushauri wenu wadau
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom