Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hello JF. Wazoefu zaidi yangu naomba ushauri ipi ni simu sahihi kuchukua hapo kati ya hizo tatu. Huawei Y7 Prime (2019) vs Samsung A10s (2019) vs Samsung A600FN (2018) Price: Zote napata kwa bei...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, salaamu. Nina mpango wa kununua BASS GUITAR (5 strings). Kuna yeyote anayejua ni wapi naweza kupata hiyo kifaa kwa bei nafuu lakini kikawa cha uhakika? Kama wewe ni mpigaji wa Bass...
0 Reactions
17 Replies
10K Views
Kuanzia iphone SE , 6s ,7 na kuendelea sasa unaweza ku update device yako kwenda iOS 13 moja kwa Moja kama uko na wifi . Kwangu inakuja 1.7 GB.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari, Nina simu aina ya Tecno CxAir ina muda wa karbia miaka mitatu tangu niinunue. Kwa muda wa miezi kadhaa sasa imekuwa na tatizo la charge kuisha haraka, na hasa ikifika around asilimia 70...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Huwa natamani sana ninunue tablet hasa ya kampuni ya Samsung ambayo ntakuwa napiga na kupokea simu pia. Sasa katika kufanya utafiti nmekutana na hii kwenye mtandao wa ebay, sijui mnaionaje wadau...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Salam wana JF Juzi Tigo wamenizwadia GB1 za mwezi Shida ni kwamba nikiwasha data napata notification za YouTube ila nikijaribu Ku stream Hamna kitu Hata nikiingia JF napo ni yale yale Msaada please
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Husika na mada apo juu kma unacho ni check pm
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ili uweze kupata taarifa za miamala iliyokwishafanyika kuhusiana na kadi yako ikiwa ni pamoja na kuweka fedha kwenye kadi, kununua bidhaa na hata fedha zilizorudishwa baada ya manunuzi ya bidhaa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimebadilisha battery mara 2, lakini bado inapata moto hatari, japokuwa siitumii sana ila nikiiwasha tu inapata moto mno. Nimeweka apps kama Wake Lock nk lakini bado tu, tusaidiane wakuu.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau habari zenu? Hivi kuna tofauti gani kati ya business information technology na computing and information technology
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Kwanza ,nawapongeza NIDA kwa kurahisisha upatikanaji wa nakala ya Kitambulisho cha Taifa kwa usalama na kwa muda mfupi sana kupitia tovuti yao. Najua wote tunafahamu kwamba kuanzia tarehe 01 Mei...
3 Reactions
39 Replies
20K Views
Wana jamvi, naombeni msaada hasa kwa wale wataalau wa IT. Nina PC yangu aina ya Dell, sasa juzi kuna tatizo limejitokeza hata sielewi limesababishwa na nini. Yaani nikiiwasha ile PC screen inakuwa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Imagine unanunua simu ya laki tatu na ishirini (320,000) halafu unakuta eti haina File Manager, eti u- download, kwenye notification unapokea vitu vya ajabu hata havieleweki.
7 Reactions
70 Replies
8K Views
Laptop yangu aina ya Dell Inspiration touch screen, intel core i7, 15.6', 8GB RAM imepasuka kioo. Ilianguka kisha nikawapa watu wa it office wakawapatia vijana wa field wameiharibu sasa nataka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni jambo lililo wazi kuwa, teknolojia ni msingi wa maendeleo ya biashara nyingi. Kuanzia kwenye mifumo ya kupokea malipo, kulipa wafanyakazi, kuhifadhi taarifa muhimu hadi kutafanya utafiti wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, mwenye kujua shop naweza pata wino wa hii printer Xerox Phaser 3124 lazer jet?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Google wiki hii wametambulisha simu zao mpya ambazo ni Pixel 4 na kaka yake Pixel 4XL Bei ya Pixel 4 ni $799 kwa 64gb Bei ya PIxel 4XL ni $899 kwa 64gb Wataalamu wa Tech,mnazungumziaje huu...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Hi, Dunia ya sasa mambo mengi yamekuwa yanabadilika kwa kasi na sasa Youtube imekuwa kama television ambapo imekuwa ina mambo mengi mno ambapo yanakuwa yanaonyeshwa kupitia channel ambazo...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Nikipigiwa simu ikiwa imelock screen inaweka giza siwezi kupokea wala kukata, simu itaita hadi ikatike ni unlock au nimpigie tena.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu salamu. Simu yangu hapa, Samsung S7 edge, nimeiwasha leo inawaka ikifika pale kwenye logo ya *Samsung* ina stuck then ina jizima. Nimejaribu ku wipe cache partition lakini bado haikubali...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom