Habari zenu wadau, nataka niagize mzigo huo naombeni maoni yenu kama nitaingia chaka au nitakuwa nimepata simu ya uhakika. Na kama kuna ambaye amewahi kutumia series ya moto g Motorola naomba...
Yowhatsapp ni MOD ya whatsapp yaani ni app iliyokuwa modified kutoka kwenye official whatsapp.
Hii app imefanyiwa maboresho na kijana Yousef al Basha(student computer science) na kuongezewa...
Habari zenu wakuu!?..
________________________
Uzi huu ni maalumu kwa wale ambao walikuwa wanatumia Unofficial Whatsapp kama GBWhatsapp,YoWhatsapp,FMWhatsapp n.k kisha wakajikuta wanakula (BAN)...
My Macbook Pro doesnt boot, it keeps restarting, giving me a silly message that "Your computer restarted because of a problem. Press a key or wait a few seconds to continue"
I have done all of the...
Kwa mujibu wa mtandao wa TIOBE, C programming language imekua the top language kwa mwaka 2017, na hii imetokana na ukuaji wa uzalishaji wa viwanda ambao kwa namna kubwa C programming imekua...
Hizi namba za kwenye switches za fridges zinamaanisha nini exactly...
Mfano 1 mpaka 5...ina impacts gani kwenye utendaji kazi wa fridge na ulaji wa umeme?
Habari zenu ndugu zangu naomba kuwauliza.. Je ninapo download habari au taarifa au ninapoiandika kwenye excel, word, au power point na kui download iwe kwenye PDF nawezaje kuiprint ikawa katika...
Wadau kuna jamaa aliwahi kutangazwa na vyombo vya habari kama sijakosea ilikuwa ITV akielezea jinsi alivyobuni simu yake kama Remote ya kuwasha na kuzima bulb,kufunga na kufungua gate n.k.Wadau...
Hallow wadau wa JF
Naomba msaada kwa sasa natumia Yowhatsapp nataka kurudi kwenye Official WhatsApp.
Lakini nataka kufanya Backup ya meseji na picha ambazo zipo kwenye Yowhatsapp.
Yaani...
Habari zenu wanajamvi, Nina website yangu hapa nimeunda
http://sixters.wapvo.com
Mnanishauri kipi nirekebishe au kipi nifanye katika website yangu? Ikague tovuti yangu kupitia link hii...
Wakuu naomba kupata mwangaza je hizi app kama WhatsApp, google FB nk, NI taasisi zilizo live na wana ofisi zao, je huwa wanajigharamiaje coz kwa mfano mimi nanunua vocha huku naunga MB zangu...
Habari zenu wakuu,
Niende kwenye swali moja kwa moja. Naomba kuuliza wenye uzoefu wa ku-purchase PC games kutoka katika steam account HV ukishafanya mwamala wote ule wa kununua game, inakuwa...
Kwa wale wapenzi wa bidhaa za Motorola watakuwa wanazikumbuka simu za Motorola zilizokuwa zinakwenda kwa jina la 'Razr'.
Sasa habari njema jamaa wametambulisha simu yao mpya. Motorola Razr ijayo...
Shikamoo wakubwa zangu
Jamani samahani sana kwa usumbufu nilikuwa napiga window kwenye Pc ni Dell ila sasa ikifika pale kwenye kuinstall inahesabu hadi asilimia 35 hivi halafu inasema "window...
Kama kichwa cha habari kinavyosema Mimi ni mgeni katika hii industry nimeweza kujifunza HTML na CSS na mpk Sasa nimekuwa na uwezo wa kutengeneza webpage angalau kidogo shida yangu ni nahitaji...
Habarini wadau.
Sijui kama ni jukwaa sahihi au la, m
Naombeni kufahamu aina tofauti za rangi zinazopakwa kwenye mabati ya nyumba na bid zake na kwa nyumba iliyotumia mabati 100 kupaua itatumia...
Habari za leo wadau, natumaini mko poa. Leo nataka nije na uzi unaoelezea kuhusu namna ya kujifunza programming kwa vitendo na kushiriki katika mashindano ya coding online ambapo pia unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.