Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakuu? Hapa kwangu nilipohamia pana tatizo la nyumba nyingi zina low voltage. Ni kifaa gani kinaweza kufaa kubalance umeme angalau niwe natumia Tv, Radio na matumizi madogo ya hapa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari, Kama title inavyojieleza, Je? Nichangamoto zipi unakutana nazo katika harakati zako za ufundi. Mimi nakumbuka nilikuwa nafanya kazi shirika moja kabla ya kuacha nilikuwa nalipwa 2k kwa mwezi.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari Chuo gani naweza kujifunza mambo ya cyber security kwa hapa Dar es Salaam, atleast iwe kozi ya miez 6 au mwaka, sio degree program.. Nina degree ila sio ya IT au CS.. Karibuni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kujua utofauti wa kinanda yamaha psr s970 na psr s770 na ni kipi ni kizuri zaidi kati ya hivyo. Asanteni Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Heri ya Christmas, Msaada wataalamu wa apps. Na download program kwenye simu yangu. Bado imeandika DOWNLOAD PENDING kwa wiki sasa. Sijui shida ni nini?
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Nimeformat data zangu kwenye partition bila kujua. Msaada jinsi ya kuzi recover Ni muhimu sana wanajamvi, msaada wa haraka unahitajika.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau Kama kuna aliye na app hii WPS OFFICE PREMIUM for tab anisaidie, whtsapp 0718830740 Sent from my JOY10_LTE using Tapatalk
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Anaejua mahali naweza pata ESC anijuze, kama anajua na bei itakuwa poa nisije kwenda na kurudi. Natanguliza Shukrani za dhati.
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Yaani kujua namna ya kuchukua video kwenye status Facebook. Nimedownload ile app ya Video Downloader; ya WhatsApp nimefanikiwa lakini ya Facebook naona kwa upande wa status nashindwa. Hii ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wataalam, Naomba kujuzwa kuhusu flat screen bora na nzuri kulingana na hivi vitu huwa vinanichanganya LCD na LED pia nimesikia kwa watu kuna smart 4 na 5 na pia brand gani ni nzuri kuliko...
1 Reactions
178 Replies
44K Views
Heshima kwenu. Mimi natumia kitochi cha Tigo. Naomba usaidizi wa kuwezesha Facebook bure kwa miezi 6 kwa anayefahamu. Niliagiza simu kwa hiyo sikuweza kupata nafasi ya kuwekewa ofa zao.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji setup ya Windows 10 Pro. Niko Dar es salaam Mbagala. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilinunua laptop mpya aina ya HP Pavilion mwezi uliopita ambayo ilikuwa imewekwa Windows 10. Shida imekuja nilisahau password nikafanya "system restore" na kutengeneza bootable mpya ya Window...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello wanatech Physics wengine ilikuwa ngumu.😀 Ningependa kujua kifaa cha watt 300 kinaweza tumia unit ngapi kwa mwezi,kama kinawashwa kwa wastani wa masaa 8 kwa siku. Nyongeza na je, nikiwa na...
3 Reactions
49 Replies
10K Views
Wakuu niaje, Nilikuwaga na masuali ambayo sijawahi yapatia ufumbuzi hasa kuhusu mpinzani au ni software gani ambayo inaweza kuwa mpinzani wa IDM katika wepesi wa kudownload files, movies, n.k...
3 Reactions
43 Replies
8K Views
Wataalam, Habari zenu, nimenunua king'amuzi cha ting nimekiwasha na kusach auto ila napata channel za continental, zinaonesha chanel mbili tatu tu, je ni frequency zipi labda niweke manually nipo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu Mac laptop yangu imeibwa but nina details zote kama serial number na IMEI je how naweza kuitrace kwa yeyote mwenye maujuzi
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu zangu nahitaji msaada kwa mtu yeyote mwenye uelewa vizuri kuhusu cyber security kama yupo humu ili aweze kunisaidia baadhi ya vitu kuhusu cyber security pia kama atakuwa anapatikana mkoa wa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Salaam wadau, Nahtaji kujua ukitaka kuanzisha radio gharama zake zikoje kiujumla? Mfano, nataka nfungue community radio bajet inaweza anzia shingapi? na vitu vya muhimu kuwa navyo nivipi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni Samsung galaxy A10s na A10 Ni jamii ya tecno A10s PLATFORM OS Android 9.0 (Pie) Chipset Mediatek MT6762 Helio P22 (12 nm) CPU Octa-core 2.0 GHz Cortex-A53 GPU PowerVR GE8320 A10e...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Back
Top Bottom