Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
kwa wiki 2 sasa nimeweka protector 2 ktk hii simu lakini zinabanduka baada ya siku chache tu,naombeni msaada wapi nitapata mtaalam au protector original za simu hii.nipo dsm
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu. Well, kwenye android phones kuna versions ambazo zinakubali kuwa na muonekano mweusi wa kioo na versions nyingine hazikubali muonekano mweusi wa kioo. Sina hakika sana ni...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Bei za internet ya wastani kwa Tanzania na baadhi ya nchi zinazotuzunguka ni kama ifuatavyo: Source: Worldwide mobile data pricing: The cost of 1GB of mobile data in 230 countries Reference...
4 Reactions
102 Replies
14K Views
Habari zenu wanajf . Leo kuna mahali nilipita nikakuta ubishi mkubwa sana kuhusiana na usajiri huu mpya. kwenye ubishi huo kuna upande ulikuwa unatetea hoja kwamba , kupitia usajiri huu wa Alama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu salamu. Naomba maujanja namna ya kuweka inline images kwenye email ikiwa unatumia android. Nangoja msaad wenu. Asante Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
713 Views
Kuna dhana imejengeka kuwa kubadilisha "Window" kwenye kompyuta ni njia mojawapo ya kuondoa Virusi. Je hii ni kweli?? Karibu tujadili pamoja. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hatimaye Airtel wahamia 4G, hope hawatabadilisha vufurushi vyao.
1 Reactions
81 Replies
13K Views
Habarini Wadau. Ninatumia tablet shida yangu iko kwenye App ya Whatsapp. Nikitaka kusoma meseji kwenye magroup inadisappear. Nimeback up na ku estore inagoma. Apps nyingne ziko sawa. Na...
0 Reactions
1 Replies
861 Views
Habari zenu wakuu, Kuna kipindi cha nyuma kidogo nilikuwa namiliki blog yangu ila kutokana na sheria mpya iliyohitaji kulipia blog yangu ikanibidi nisitishe zoezi kidogo maana nikaona mambo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima kwenu. Nataka kununua simu mpya Samsung ama brand nyingine. Bajeti yangu laki sita na nusu. Wajuzi wa mambo kwa ka hela haka nitapata simu nzuri ipi. Hasa Samsung. Sipendi kabisa...
1 Reactions
86 Replies
10K Views
Wadau wa Jamiiforums nilikuwa na simu ya Tekno W3 toleo la 2016, siku chache zilizopita Apps zote nilizozidownload play store hazifanyi kazi mfano whatsapp, opera mini na Jamiiforums. Nilimuuliza...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa anaetumia au alietumia anipe mrejesho. Iko vipi? Interms of perfomance na n.k
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu waheshimiwa, naomba procedure za phone setting ili kama ninahitaji privacy wa kutopokea simu ya mtu. Binafsi sipendi kundangaya ila nahitaji akinipigia akute sipo hewani. Natumia Android...
0 Reactions
41 Replies
31K Views
Naombeni muiangalie mniambie ina uwezo ki Business, Games level za GTA 5, 3D editing, architecture vyote in general??? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Soon you'll be able to transform your TV set into a computer using a device no larger than a pack of chewing gum. What is it? A four-inch dongle, powered by a quad-core processor, that comes...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Wajameni vipi watu wa Technology especially CHIEF MKWAWA. Simu ya LG G6 inakataa kuingia YouTube na kubrowse internet ila social network inakubali. Tatizo sio kifurushi maana baada ya kuweka...
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Mwenye weledi mnisaidie namna ya kumiliki namba ya whatsapp isiyo ya tanzania.
1 Reactions
268 Replies
39K Views
Naomba kuelekezwa jinsi ya kutengeza site, kupata traffic na kuiunga na Google Adsense.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu wenye simu za android na Iphone......... Moja ya sifa ya hizi simu zinazotmia platform hii ni Apps mbai mbali . Inawezekana kuna mtu anatumia app nzuri fulani ambayo mwenzake hajui...
1 Reactions
385 Replies
88K Views
Nilipigwa na shoti ya umeme ya nguvu tu siku moja katika harakati za kurekebisha hili na lile. Ajabu ni kuwa nilisikia kama mtu kanipiga rungu la kisogoni kiasi kwamba ilinilazimu kabisa kugeuka...
3 Reactions
39 Replies
11K Views
Back
Top Bottom