Wakuu habari za kutwa nzima
Naombeni msaada wenu namna ya kuunlock hii simu kampuni ya Halotel H8401.
Je Nck Crack Inaweza chomoa? Michango yenu na mawazo yenu muhimu.
Sent using Jamii Forums...
MODEL:HUAWEI E3372h - 153 inaingiza line zote (universal)
Majuzi nlikuwa nataka kuweka modded web ui yenye option ya ussd
, nili install web ui ila haimalizi taa inawaka utadhani bado inainstall...
Habarini wakuu!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu.
Nilikuwa msibani nikiwa na simu mfukoni ghafla mtu alinichomoa simu yangu.
IMEI NUMBER ninayo, naomba msaada kama kuna mtu...
Wakuu hivi karibuni nimefunga dish la futi nane receiver ni gsky v7 ambapo nimetumia satellite finder vizuri tu na nimefuata procedure zote vizuri ikiwa ni pamoja na kuupgrade software.Satellite...
Nina kiproject kidogo cha kuchukua videos kwa ajili ya Youtube channel zikiwa HD.
Sasa nahitaji kununua low budget camera kuna hiki kicamera kinaitwa SJCAM model SJ 4000 AIR vipi kinaweza kuwa...
Ndugu zangu desktop yangu haitoi sauti kwa muda sasa na nkatumia sound card ikawa inafanya kazi vzuri. Sasahivi haitoi tena sauti japo nmejarbu kubadilisha sound card ila bado.
Naombeni msaada...
wadau nina swali, nikinunua kitu Online na nikachagua hii shipping ya CHINA POST SMALL PACKET. Je? Mzigo wangu nitaupokelea wapi? Kwani kwenye shipping address hakuna option ya PO BOX, bali kuna...
Huko nchini China,darubini kubwa zaidi duniani ya mawimbi ya redio iliyopewa jina la FAST ambayo ina ukubwa sawa na viwanja vya mpira 30 imemakamilisha kipindi cha majaribio.
Wanasayansi nchini...
Habari wana jamvi...Kwanza Napenda kuwashukuru wadau wote humu walioweza kujadili swala la Paypal, Jinsi ya Kutoa pesa Paypal ukiwa Tanzania na changamoto zake kwa Hapa Tanzania. Mada hizo ndio...
Nimeingia YouTube nikacheki tutorials nyingi nakufikia ku download hiyo software. tatizo inaitaji apple ID na mimi apple ID sina hii ndo apple device yangu ya kwanza.
Nimejaribu kufungua apple...
Habari zenu wataalam.
Nilikua naomba kuuliza kwa wenye uelewa hapa.
Nilikua natumia pc yangu nilichomeka kwenye socket ghafla nikashangaa adapta inafuka moshi na inatoa maji fulani hivi...
Heshima kwenu wakuu! Nina swali kidogo,
Endapo mtu anatumia subwoofer toleo la zamani kidogo kuna uwezekano wowote wa kuongeza bluetooth device na ikawa ina uwezo wa kuunganisha vyombo...
I am interested in attending conferences or symposiums where there is discussions on ICT research, opportunities, new solution seeking partners, or just a place conducive for techies to network...
Wakuu, habari ya wakati huu! Nimeapply formula ya Concatinate nikaweka semi colon kama alama ya kuseparate data ambazo zimekuwa combined.
Yaani =CONCA(A4,";"B4,";",C4,";",D4).
Nimefanikiwa ila...
Wakuu, naomba msaada ni njia gani naweza ku by pass hii simu inaitwa Nokia 1.
Nimepitia baadhi ya thread lakini naona bado hivyo naomba mwenye uelewa anisaidie ili niweze kutatua tatizo.
Wakuu kwa yeyote mwenye ufahamu nina laptop yangu 'mpya dell inachanganya keys zake (baadhi) mfano nikipress "y'myenyewe inaandika "z" nikipress "z" inaandika "y" halafu kwenye zile symbol sasa...
Wakuu wakati tunachangia, nimekutana na mchangiaji kakataa kuwa hajawahi kutumia hayo maneno ambayo yamo humuhumu JF kwenye jukwaa lingine na mwaka jana lakini Heading naiona na amechangia No. 121...
Wadau, heshima kwenu!
Kwa muda mrefu, nilikuwa nimeacha kuitumia app ya Mobdro, kuangalia mipira ya ligi mbalimbali.
Majuzi, nikaikumbuka, nikaamua kuifungua. Nikakutana na chaneli ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.