Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Niaje Washkaji,, nimenunua Decoder ya DStv nyuma nimekuta USB port lakini inaoneka haiko active nimechomeka flash lakini hai-detect,nikajaribu kucheck Guide Book zake nikakuta inaniambia Not...
3 Reactions
12 Replies
14K Views
Habari wanajukwaa kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo juu, nimefungua youtube channel ivo nahitaji kuitangaza brand yangu kwa kutumia maiki na kuiwekea logo naomba msaada jinsi ya kupata maiki na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwenye notification bar naambiwa "incoming messages rejected due to full memory ". Notification yenyewe haitoki hata nikijaribu kutuma message kwa simu nyingine haziingii.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
App ya kublock namba ya simu. Ukimblock mtu asikupate hewani kabisa. Achana na hizo za magumashi! Ukimblock mtu simu inaita kidogo then unambiwa No ipo Bussy. NO.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nina external hard disk aina ya trascend 3TB ambayo imedondoka na kupasuka cover ya nje ambapo hata hivyo baada ya kudondoka imeendelea kusoma lakini baada ya muda imegoma haisomi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
habari zenu wadau kwa siku tatu nyuma ninapopiga sm huchukua muda mrefu zaidi ku search kabla sm kuita ama kukutaarfu vinginevyo vipi hii ni kwangu tu ama kuna mdau anakutana nayo? na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wataalam wa ICT, eti "THIN CLIENT" ndio nini?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba kujua namna ya kufanya malipo ya Games na Applications mbalimbali katika Google Play Store kwa kutumia Vodacom Mastercard. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wakuu. Kuna business nimepanga kuanza biashara ya kukopy na kuprint CD, kutengeneza vitabu vidogo vidogo nk. Sasa leo nimeingia Kariakoo kununua duplicators nimekosa wanasema adimu sababu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni ushauri, nimesafisha kioo cha laptop yangu kwa kitambaa chenye maji maji ikiwa imewaka baada ya kuizima na kuiwasha kioo hakiwak tena yaani ni black tu hakionyeshi kabisa. Tatzo nini jamani?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama nilivyoandika hapo juu wakuu, nilikuwa nahitaji kuelekezwa sehemu au mtu anaeweza kuniwekea games kwenye ps4 gharama nitalipa ila awe na uwezo mzuri siyo mbabaishaji akaniharibia.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu, naomba kujua kama kuna mtu aliefanikiwa kujiunga na Amazon Mechanical Turk, na je alijiungaje na mrejesho upoje wa malipo? Kama hujui Mturk ni online working platform.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
kesho nitakuwa kariakoo kununua TV nataka kujua TV bora ni hipi yenye mfumo was AC na DC
1 Reactions
3 Replies
711 Views
Nimesahau password ya account yangu ya email niliyokuwa nikitumia miaka miwili iliyopita. Nahitaji kuitumia tena lakini nimesahau password.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kama hujaweka, Wala usijaribu. Ni fake as hell. Simu yangu imepasuka baada ya kudondoka Chini nikiwa nimeweka hiyo kitu.
6 Reactions
69 Replies
12K Views
Habari za muda huu wakuu hii ni baadhi ya ant viruses in the world so tutakuwa tunashare links ili kusaidia kwa wenye uhitaji A Agnitum AOL Active Virus Shield AV-Comparatives AV-TEST Avast...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugu, kesho nitashare na nyinyi live stream kwaajili ya kucheck game ya Aston Villa V Bournemouth : Hii ni kwa wale ambao hawatoenda kibanda umiza, au kivyovyote vile but utahitaji kustream...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za jion wakuu Yaani wakuu nimekua mpenzi sana wa video games mpaka nashindwa kuelewa mpaka sasa nimimeshacheza video game nyingi sana Call of duty modern warfare 1,2,3,4 Call of duty...
11 Reactions
240 Replies
24K Views
habari wanaJF, nina Tekno S1 yangu kutoka Tigo nilipeleka kwa fundi aiflash ili itumie mitandao yote. baada ya kuflash matokeo yake ni kwamba imegoma kusoma laini zote. Na kila nikijaribu kucheki...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Simu yangu iPhone4 siwezi kutumia bila Apple ID na mimi sina. Nitawezaje kupata nisaidieni
0 Reactions
1 Replies
818 Views
Back
Top Bottom