Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wanaJF, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Ninatafuta wanafunzi ishirini ambao nitawafanyia training na mentorship katika eneo la web design and development. Unaweza uwe...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wakuu. Naomba kila mmoja ataesoma thread hii aweke App yake bora anayoikubali zaidi kutazama mpira kwenye simu ambayo haikwami kwami na ina option tamu. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
11 Replies
5K Views
The four new models each weigh under three pounds and come with 10th-generation Intel Core processors and bigger batteries than their predecessors, but retain their premium price tags. It's been...
0 Reactions
1 Replies
486 Views
naombeni msaada jinsi kuturn on java script kwa anaetumia android phone akitumia opera mini pia naombeni mnieleweshe hii java script ndio nini? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hivi ni sehemu gani naweza kupata templetes za websites ambazo naweza kuzoedit alafu nizipublish kwa .co.tz? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
609 Views
Sisi wote hua kuna mda tunakaa na kuskiliza muziki,,either ukiwa umechil tu au upo zako unakimbia..au any time tu Lakini wengine pia hua tuna angalia zetu moviez kweny smartphone zetu. Sasa kuna...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Mimi nina bajeti ya laki 8 shida yangu ni kununua laptop. Ila mimi sio mjuzi sana wa laptop inshort ni mgeni maana nipo chuo mwaka wa kwanza sasa katika pita pita zangu nimekutana na laptop hizi...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Kama kuna anayeweza ku-update Nexus 6P to Android 9 kwa kutumia recovery za XDA ani PM tuyapange. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kununua simu ila sijajua ni brand gani kati ya Samsung, Nokia au Infinix Nahitaji simu yenye sifa hizi: - Processor - snapdragon 630...
0 Reactions
41 Replies
10K Views
Habari Wakuu! Nimerudi tena baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu. Miaka ya nyuma nilikuwa natoa Games za PC humu ndani for FREE, yaani ni 0 price. Nikapotea katika uso wa Magame kutokana kwa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari za mida wakuu Mm ni muuzaji wa hizi mashine za kichina za kukaushia nywele (HAIRDRYER ZA MKONONI) kipindi cha nyuma sikuwahi kupata usumbufu lakini miaka ya karibuni zimekuwa na tatizo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari, Nimenunua Smartphone used kwa bei ya chini hadi nimejishtukia. Ni Simu ya 475,000 lakini nimeinunua kwa 200,000. Simu bado mpya na katika kuikagua haina tatzo lolote. Nimepatwa na...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wandugu natumia Samsung J2 siku hizi nikiweka kwenye charge inaonyesha 0% kuwa inaanza kupeleka moto. Ajabu nikiiacha hata hadi asubuhi nakuta bado iko 0% hakuna moto. Ninachoshangaa kama kwenye...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu kuna hii application ya movie box mdau mmoja aliiletaga hapa, app iko vzr sana, ila sijajua namna ya kudowload muvi au series ikiwa na subtitles zake, au subtitle kwa ujumla, kwa anaejua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana badi salam. Kwasasa makampuni ya simu yana huduma nyingi za kupiga simu wao wakidai ni bei nafuu ingawa naona kama ni ujanja tu. Napenda kuzungumzia kama si.Nchi nzima basi baadhi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nili-download hii App. ya Azamtv, nikajaribu ku-register lakini inakwama hata baada ya attempts kadhaa. Is it me that I am doing it wrong au App yenyewe ni takataka kama baadhi ya products zao?
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Nadhani kuna tatizo sijajua kama ni kwa makusudi ama lah au ni kwangu peke yangu ..ila nmeamua kuleta mada hii hapa huenda wahusika wakapata habari na kurekebisha shida hii Aksanteni Sent using...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Nimekuwa kila nikinunua headphones hazidumu. Nyingi ninazokutana nazo hazina kiwango. Brand gani au headphones za aina gani zipo vizuri?
0 Reactions
26 Replies
10K Views
Wanajamvi naomba msaada wenu wa App kwa ajili ya music. Ni zile zinazoweza kuondoa beat/instrumental na kubakiza vocal peke. Vile vile zinazoweza kuondoa vocal na kubakiza instrumental. Kifupi...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom