Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau naomba maelekezo ya nyongeza kuhusiana na manunuzi mtandaoni, nahitaji kununua vitu mtandaoni nifanye nini na nianzie wapi maana tayari card yangu ya benk nimeshaiwezesha, baada ya kufanya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu me ni mgeni kwenye ulimwengu wa pc ndo nimenunua ila pc yagu ni ndogo HDD 120gb Ram 2gb Sasa nilikuwa nataka kuuliza ni program ipi inaweza nisaidia ku edit simple videos bila kuongeza...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu zangu wote, Naomba maelezo ya kiswahili ni vipi unaweza ku trade online na nini maana ya broker. Nahitaji msaada wenu wadau
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Watumiaji wa Ali Express changamkieni dili kuna promotion ya kujishindia free Coupons kwa ajili ya punguzo la bei ya manunuzi na Coins, pia wawezajishindia hizo vitu kwa kucheza game la...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada: Nataka kujua kwa wale wanaonunua bidhaa mtandaoni kwa VISA MasterCard je hizo bidhaa unatumiwa kwa njia gani mpaka unapata mzigo wako?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Laptop yangu huwa natumia siku zote bila shida kwenye upande wa network na internet hasa katika kuunganisha wifi na hotspot ya simu. Sasa leo nashangaa siwezi ku unganisha...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu habarini za kazi naombeni msaada nataka special namba ya laini ya tigo isomeke 0655544791 ili ifanane na laini yangu ya voda nimejaribu kuiangalia namba hiyo kwa kutest kuitumia pesa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nime experience ugumu wa kurejesha account ambayo nilitumia muda mrefu kidogo. Issue ilikuwa hivi nilidondosha simu sijui wapi, nikapoteza na simcard humo humo ambayo ndo nilitumia kusajili...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Na barua kutoka Google imeshatumwa Tanzania sasa jinsi ha kuipata na sikuanfika sanduku lolote nimetuma hivi: BAKARI JUMA SALUMU KINONDONI DAR ES SALAAM 11000 TANZANIA Hivo ndo nilivi jaza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za leo!! Dunia imekumbwa na janga, na sisi kama Watanzania tumekumbwa tayari. Mambo ni mabaya, na shughuli nyingi zimesimama tayari kuanzia Taasisi za elimu, dini n.k na muda sio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hadi saa tano usiku simu yangu ilikuwa haina tatizo lolote na ilikuwa ikichaji vizuri tu ila asubuhi nimeiweka chaji ila haichaji nikapita humu jukwaani kuona kama nitapata uzi ulioelezea tatizo...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Wakuu habari na pole na majukumu kwa mara nyingine tena narudi kwenu kwa mafundi na wajuzi wa IT. Nna simu aina ya redmi note5 chinese rom yenye android ver.9 muiu10, iyo simu nlirestore kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wanajukwaa habari zenu, Ni siku kadhaa zimepita tangu Samsung Galaxy walaunch Samsung S20. Ni simu ambayo imeonesha kuvunja record hasa kwenye camera, System operating nk. Na wamemfunika...
5 Reactions
191 Replies
21K Views
Habari wakuu.nilikua naomba ushauri wenu ninunue laptop ipi,yenye specs zipi (Ram, processor nzuri nk) itakayoweza kurun atleast hizi program vizuri kabisa 1. CIVIL 3D (2017-2018) 2. ARCH-CAD...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Jaman ndugu zangu waTanzania na wataalamu wa technology naomba msaada juu ya hii app navyosikia unaweza tumia unlimited data kuperuzi internet, for free, tatizo ni kujua set up tuu, MSAADA WENU...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
kwa wale watumiaji wa computer ikitokea umefuta kitu kwa bahati mbaya iwe kwenye simu memory card au flash je kuna uwezekano wa kuviludisha vitu ulivyo vifuta. jibu ni ndio inawezekana hapo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wadau nilikuwa nahitaji kununua Smart Tv ya TCL inchi 32, Sasa nilitaka kufahamu Tv yeyote ya TCL naweza kuinganisha na simu yangu nikawa naangalia vitu kutoka kwenye internet...
2 Reactions
83 Replies
18K Views
Wadau leo ni leo asemae kesho muongo!! Samsung leo watatangaza simu kali itayoleta mageuzi makubwa katika ulimwengu wa gadgets! Hii si nyingine bali ni Samsung Galaxy S20! Stay tuned...
6 Reactions
107 Replies
15K Views
Jamani Mimi natamani sana kuwa na akaunt YouTube kwa ajili ya biashara na mambo mengine, natamani sana kuwa kama Millard ayo ,na watu wengine, naomba nisaidiwe hapa ni kivipi naweza sajili YouTube...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Simu haikubali kuconnect na earphone type C, pia nimenunua USB type C adapter imegoma, msaada Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Back
Top Bottom