Umofia kwenu..wana Jf..!
Natumai haujambo wote katika kipindi hiki ambacho Dunia yetu..IPO katika Mitihani huu Mkubwa wa Ugonjwa wa Corona.
Nilikuwa Nina Ombi kwenu kama kuna uwezokano wa...
feni yangu nikiiwasha inazunguka lakini inatetemeka sn na kupiga kelele ukiongeza speed kelele inazidi mwenye kujua tatizo nini na nini cha kufanya anijuze.
Jinsi ya ku ‘root’ simu yako ya Android.
Utangulizi:
Simu zetu za Android zimekua sehemu ya
Maisha yetu ya kila siku. Tunazitumia katika
Mawasiliano, Kuhifadhi kumbukumbu za
muhimu, burudani...
Kwa wataalam wa mitandao, nimeona mara nyingi watu waki"sponsa" post zao au matangazo mbalimbali kwenye mtandao wa Instagram, hii husaidia kupeleka 'bandiko' lako mbali hasa kwa ambao hawana...
Habari wakuu,
Nataka niwe narecord audio mbalimbali kwa ajili ya podcast/ YouTube video. Ni microphone gani nzuri na cheap naweza kutumia.
Nimejaribu hii ya simu naona hata haina quality.
Wanajamii ningependa kujua izi smartphone za vivo, na oppo ubora wake...coz naskia tu tecno na infinix ni low quality, lakin zinatumia chipset ya aina 1 kwamfano; vivo y19 inatofauti gani na tecno...
Nimeibiwa simu sasa nataka niifungie simu yangu ili tukose wote mimi na huyo mwizi wa simu na kama kuna app ya kuweza kuitrack ili niweze kuijua ilipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ya wakati huu wadau wa jukwaa hili. Natumaini mnaendelea kujikinga dhidi ya Covid19. Ombi langu ni moja tu.
Naombeni mnisaidie app nzuri ya kurecord screen ya simu (Android). App hiyo iwe...
Habarini,
Rejea title inavyosema. Nina simu yangu ya Android (Tecno Spark III) yenye tatizo kama nilivyoeleza kwenye title.
Ina kama siku ya nne tangu ilivyoanza kuleta shida ambapo ilianza kwa...
Wakubwa natumain Kuna best IT's humu Kama sio programmers,
Ninaomba mnisaidie nina maswali kadhaa kuhusu programming mimi binafsi napenda sana hi kitu ila sielewi naanzia wapi.
Nimejarb...
Kwema huku wadau wa masuala ya teknolojia? Poleni kwa majukumu na jitihada za kujikinga dhidi ya covid 19. Nina tatizo dogo naamini mtanisaidia maana humu kuna wataalamu wengi tu wa IT.
Kuna...
Habari wakuu,
Natumia window 10 katika PC tatizo limekuja nimedelete folder imeenda kwenye recycle bin ambayo haionekani ktk desktop icon na ukienda upande wa setting ili uweke idisplay kwenye...
Wajuvi,
Nawakaribisha tupeane tricks pamoja na matumizi mbalimbali ya command prompt.
Binafsi sina ufahamu wa hii kitu, nategemea kupata chochote humu jamvini.
Karibuni.
Wakuu habari za jioni ....nimeletewa computer hapa kwa specifications hizi kama ni wewe ungenunua kwa bei gani?
Cc Chief mkwawa
Sent using Damu ya Yesu
Nataka kulipa online kwa paypal nimejaribu kulink mpesa mastercard lakini imeshindikana je kuna njia nyingine ya kuweka hela paypal kwa kutumia mobile (kwa tigopesa au mtandao mwingine)
YONA F MARO
NAIROBI , Kenya August 2010
AINA ZA UHALIFU MTANDAO
The ICT Pub
Utumiaji wa Komputa zilizounganishwa kwenye mtandao unaendelea kukua kila siku sehemu nyingi duniani kasi hii ya...
JAmani wanajamvi nilikua na utata, kama kuna mtu anaweza utundu wa kuweka muziki kwenye video ya kujirecord anielekeze, au hata kama kuna app basi tuambizane.
Natumai mko vyema wanatech na mnaendelea kuchukua hatua stahiki kujikinga na COVID-19.
Iko hivi, kuna file mara nyingi nalikuta kwenye storage ya simu yangu chini kabisa, huwa linakuwa na mb...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.