Habari ya usiku waungwana, kama kuna mjuzi anisaidie kutatua tatizo langu.
Nina simu yangu aina ya TECNO, line za voda hazisomi yaani kila nikiweka inasomeka "No Service". Hii haijalishi...
Wakuu laptop yangu Hp EliteBook imegoma kuwaka nikibonyeza power button. Lakini nikitoa betri nakurudisha inawaka kidogo halafu inazima.
Msaada wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za majukumu wanazengo,
Nina mashaka na mke wangu amedekuwa simu yangu especially voice call naomba msaada namna ya kujiondoa kwenye hiyo kadhia.
Maana nikiwasiliana na watu ananiambia...
Habari?
Wakuu ninahitaji kujuzwa wastani wa gharama kutengenezewa website kwa ajili ya kuuza muziki (downloads and stream), kama walivyo boomplay, spotify n.k na ziada ya feature ambayo kutakuwa...
Naomba kuuliza kwa wale wanao tengeneza free app. Wanapo zituma kama vile YouTube au katika website nyingine huwa wanalipia katika hizo site? Na kama wanalipia wawo hupataje kipato kwa kaziyao...
Heshima kwenu waungwana,
Natumia umeme wa solar una betri la 12V 33Ah nimefunga pamoja na controller na panel ya Watt 40
Taa zinawaka bila shida
Kuchaji simu chaja naweka direct kwenye betri...
Jamani habari za muda huu ndugu zangu:
-Jamani naombeni maelekezo namna ya kutengeneza youtube channel inayoingiza pesa.
-Halafu je, kuna uwezekano wa kutengeneza you tube channel kwa kutumia...
Niaje developers. Naomba mawazo nyenu kuhusiana na php framework ip ni nzur na popular developer weng wanatumia. Nimejaribu frameworks kama codeighter, cakephp na zend bado naona chenga za mchele...
Hi! Does any one here knows what is the list of software that makes JF live and running? Just like other sites...they all have specific technical tools and codes for making it online and...
Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya Alibaba, Jack Ma, sasa ndio tajiri nambari moja nchini China.
Bwana Ma mwenye umri wa miaka 49, amepiga hatua hiyo baada ya kundi la makampuni yake ya...
Free Fire Ni Battleground Inayofanana kwa kiasi kikubwa na PUBG, Ni game Mahususi kwa Vifaa vya Android na IOS. Game Ina Size ya GB 1.5 Ni game Nzuri Haswaa.
Unachotakiwa Hufanya ni Kusignup...
WALE MNAO TUMIA TTCL NJOONI MNIJUZE SPEED YA INTERNET YA 4G YAO IPOJEE MAANA NISIJE NIKARUDI KUMBE NARUDI ENZI ZA UKOLONII....
NIKO DAR ES SALAAM MARNEO YA MBEZI BEACH....
Ndugu zangu kwa joto hili urembo wote utatuisha natafuta wapi nitapata Air condition ndogo ya bei nafuu au Aur cooler kwa bei rafiki jamani nisaidieni kwakweli..Loll hili joto la dsm sasa ni...
Habarini humu. I hope mtaweza kunisaidia. Kama kuna mtu keshawahi kutumia hii machine au kama kuna Biomedical engineer naomba anipe muongozo.
Hii machine inawaka lakini ikiwaka inaonyesha " fluid...
Unashindwa ku play movies Toka kwenye external hard disc . Naomba utaalamu na ushauri. Nafahamu kwamba tv niliyonayo ni ya zamani, cable hazisomi external, software upgrade inadunda. Sijui nakwama...
Naomba msaada,
Memory card yangu imekataa kusoma kwenye simu inataka niformat nimeweka kwenye pc inasema hivyo hivyo ninachotaka kujua nikitaka kuformat inasema itafuta all data sasa je hizi data...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.