Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hi Guys! Leo tujifunze kitu kidogo tu na rahisi. Jinsi ya kutengeneza Simple electric train. Ni kitu rahisi tu uwe na copper wire nyembamba, battery ndogo na AA magnet( kwenye video utaiona)...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Hello Coders! Nahitaji kuanza mafunzo ya Java Programming (self study) huku lengo kuu likiwa ni kujikita zaidi katika upande wa Mobile Apps development. Naomba Suggestions zenu, hasa za vitabu...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari wakuu,poleni na majukumu. Nina shida na VGA (Video Graphic Arrays) za kutoka kwenye Laptop/PC kwenda kwenye Flat Screen/TV. Ziwe VGA - out to HDMI - in,VGA - out to VGA - in. Naweza...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Ukiwasikiliza watumiaji wengi wa simu hapa nchini watakuambia simu za Samsung ni rahisi kuvunja vioo.na pia vioo bei ghali. Kupitia uzii huu naomba wabobezi wa masuala ya simu waje hapa Kutoa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Hi Naomba kujua ni mtandao uoi wa simu una unlimited internet for youtube kwa njiarahisi mtandao upi unatoa unlimited bundle za youtube!!?? Najua Halotel wana Royal Bundle but once ikiisha zile...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nafikiria kuihama hii browser kama nilivyoihama Mozilla Forefox. Ipo heavy vibaya sana. Haitaki PC zilizo na uwezo mdogo. Inakula RAM kuliko maelezo. Inakula almost 20% of RAM. Ukiifungua na...
4 Reactions
63 Replies
7K Views
Ndugu wabobezi wa maswala ya computer upande wa hardware, napenda kuuliza, hivi ukibadilisha mother board naweza kupoteza vitu vyangu nilivyohifadhi katika computer husika? Nikimaanisha windows na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu poleni na harakati za kuitafuta grisi maana vyuma sio poa..,kuna simu hapa imeharibika display... Ina sence touch ila haionyeshi maandisi, msaada wa kuitengeza kama unaweza njoo inbox...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Nina Ipad yangu zile za kitambo za 16 BG Sasa nataka kuresert / Factory nimejaribu Kuingiza password zote ambazo nakumbuka but imekataa inasema ni wrong. So please kwa mtu yeyote ambaye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeikuta hii list ya fta channels za Tanzania. Nawezaje kupata receiver kama hii? Na gharama zake zikoje?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, poleni kwa majukumu na mapambano dhidi ya adui covoid 19. Nimepitapita mitandaoni nikakutana na mtu anauza hizi taa hivyo nikaona nije mbele yenu kuomba ushuhuda wa mtu ambaye ameshawahi...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada wenu jinsi ya kuunga GPU kwenye laptop niweze cheza game kama fortnite, [UBG, GTA 5 na zingiene zenye maadhi hayo vifaa ntakavyojitaji na gpu gani iwe budget gpu, laptop...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, natumaini mpo njema kiafya mpaka muda huu mnasoma uzi huu. Naenda direct kwenye lengo la uzi huu, juzi nilinunua bidhaa (kifaa cha umeme) yenye thamani ya TZS. 520,000/= lakini...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari jamaa katika jukwaa hili, siku za nyuma nilikuja na shida moja kuhusu simu yangu, nashukuru kwa kunipa ushirikiano mzuri na tatizo liliisha. Nimerudi tena na tatizo lingine katika simu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari zenu wakubwa, natumia iphone, sasa kuna hii system ya ulinzi inaitwa advanced protection kwa ajili ya kuiongezea email ulinzi zaiidi. Hii system imekua established ili kutumika na watu kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Najuta kutoa pesa yangu kununua hiki kifaaa ukiweka flash video za mp4 inakwambia video frame not support ukiwe mp3 inakwambia Not Recognized naomba msaada kwa mwenye kujua jinsi ya trouble shoot...
2 Reactions
92 Replies
13K Views
Apple wameamua kula sahani moja na makampuni yanayotengeneza budget phone. Apple wamezindua simu ya iphone inayoitwa iphone SE. Kitu kinachovutia kwa toleo jipya la simu hii ni bei nafuu...
6 Reactions
107 Replies
17K Views
Msaada nina iphone 6s plus nikichomeka chaji badala ya kuongezeka inapungua na nimeshsbadili betri na kibao ila bado tatizo lipo palepale Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu wanajf, natamani sana kuwa Fundi wa ku-repair electronic appliances kama radio,TV,DC-AC inverters and the like. Lakin tatizo langu ni kuwa sifahamu kama kuna chuo/vyuo vinavyotoa hizo...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Msaada laptop yangu inazima zima nikitumia kwa muda na ikizima nikijaribu kuiwasha muda huo huo haiwaki mpaka nisubiri kwa muda ndio iwake tena. Kwa mjuzi wa haya mambo shida ni nini?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom