Habarini nyote nawaletea salamu changamfu kabisa kutoka West Monroe, Louisiana.
Data validation kwa pipo za Computer science - is the process of ensuring data have undergone data clearing to...
Jamani PC yangu hp elitebook imenisumbua na inaendelea kunisumbua nimefikia hatua ninunue nyingine , PC ina miezi 4 nilipobadilisha window na pia jamaa flani aliniambia processor imekufa...
wakuu yaani kati ya siku yenye laana kwangu ni siku ya leo.
Basi leo nimepata kakiherehele ka kwenda kuweka window7 basi jamaa kaweka vizuri 2 then kaniambia machine iko fresh ninaweza kwenda...
Habari za muda huu wakuu, nimepata changamoto kwenye tv yang ya LG smart tv, tangu juzi ilikuwa inawaka na kujizima yenyewe kila baada ya dk 40, nikajarbu kuangalia labda ni setting za timer...
Habari nyote.
Naomba msaada kujua ama kufahamu, naweza badilisha kioo cha ndani cha Tv yangu? Kimevunjwa bahati mbaya.
Msaada tafadhali wataalam.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi napenda kutumia simu ya android kwasababu inanipa uhuru wa kufanya vitu vingi kuliko simu za iphone
Team iphone ni kama wamewekewa limit ya kutumia simu ila team android full kujiachia...
Wakubwa za xmas, naomba msaada wenu, nina i phone 8 plus ila mpaka sasa nimeshindwa kurejesha contact zangu kupitia Gmail,
kabla ya hapo nilikuwa natumia techno na nilipokuwa narejesha acc yangu...
Habari zenu wadau.
Naomba msaada ni kwa namna gani maweza ipata Simu yangu ambayo imeibiwa Dukani ikiwa kwenye box lake yaani haijafunguliwa, kwamba aliyeiba ndio atakuwa mtu wa kwanza kuitumia...
Kwema Wakuu,
Kipindi hiki cha kushinda home sababu ya Corona nimejikuta tu nimetamani kupoteza muda kwenye Games za PlayStation hivyo nikanunua moja.
Sasa muuzaji aliniwekea games tatu tu...
Habari wana JF,
Mimi nina pc yangu kwa wale watalamu wa PC game za mpira kwa detail za PC yangu hii je naweza run pes 18 hata kwa low setting naomba wenye maujuzi wanambieee kuhusu hii.
bila shaka naisi tupo wengi ambao tumekumbwa na janga ili la window 10 updates yani kila niki download any app kwenye pc inakuja na icon ya website iliyo downlodia kama ile ya e ambayo ni...
Kama yupo ataeweza nisaidia kujua namna ya kudownload series all in one package nitafurahi sana, site nyingi ninazoingia series inanibidi nidownload episode 1 moja jambo ambalo linanichosha...
Sending a fax from your computer is a convenient, money-saving way to communicate with people who cannot receive email, or insist on paper documents. There are several ways to send a fax from your...
Habarini wakuu ninatarajia kupokea PC yangu kesho Ila akilini mwangu nawaza sana burudani ya kucheza game kwa kutumia PC yangu hasa game ya football.
Sasa wakuu kwa mnaojua vizuri je kwa...
PC yangu n aina ya Fujitsu FMV-718NU4 ya kichina China hv tatzo lake n kama hvo kwny picha ila sahv imezima display haionyesh kitu ila feni imaunguruma sana tu naomben msaada tatzo lnaezakua nn...
Nina shida kwa mwenye kujua gharama ama process za kufuata ili uweze kumtrack mtu kupitia nambari yake ya simu kwa kupitia TCRA mlolongo uko vipi?
Mwenye kufahamu anijulishe. Ninayemtafuta ni...
Habari zenu ndugu wanajf, nahitaji kuregister users kwenye domain yangu ambayo ni ujamaa.com "mfano:-kholo@ujamaa.com.
Naomba msaada wenu, nawezaje kufanya hivyo? Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.