Wakuu hivi utofauti wa simu ya I Phone za simu za android kama Samsung,Oppo ni upi?
Je, i Phone yenye Storage ya 16GB inaweza ikawa tofauti na Samsung yenye storage ya 16 GB
Hapa nazungumzia...
Wakuu habari?
Naomba msaada jinsi ya ku root Infinix S5 bila kutumia PC
Model: x652
Android version: 9 (Pie)
Nimejaribu kwa kingroot naona haifanyi kazi inagoma kuwa installed, Kama kuna app...
Msg hazifutiki kwenye simu yangu nimeenda hadi app ya message nafuta hazifutiki. Nimeenda kwenye setting nimeclear data na cache kwa app ya msg lakini bado zipo vilevile.
Msaada mwengine jamani...
Najua kuna maelezo mengi sana kuhusu hivi vitu ila naomba kuchukua muda wangu na kuweza kuelezea kwa wale ambao wanataka kuanza kuvijua hivi vitu.(beginners)
Html ni nini?
Html ni Hypertext...
Habarini ndugu, pia poleni na mishe za hapa na pale.
Moja kwa moja kwenye point, natumia desktop HP Intel Core i5-3470 3.20 GHz
Ila kuna shida inasumbua kuna baadhi ya device zinagoma kusoma...
Kwa wasiojua hili, kampuni kubwa za PC gemu zinekuwa zilitoa gemu zao kwa bure kipindi hiki, but sio zote.
Kwa sasa GTA V ni bure kutoka kwa Epic. Nimeshapata Just Cause 4, Assassins Creed na...
Habari wakuu natumaini mu wazima poleni na mapambano ya Korona niende kwenye mada Kati ya hizi simu mbili Samsung m31 na iPhone 7 ipi ni nzuri zaidi? katika nyanza zote muhimu maana naona Bei zake...
Naombeni msaada kila nikitaka kucomment nashindwa yaani nazuiliwa kucomment habari za biashara inakataa ila nicomment kingine kina kubali nini tatizo itakuwa
Habarini wana jf..
Katika ulimwengu huu wa sayansi natekinolojia ni vyema kukimbia na kasi ya maendeleo yake. Hivyo basi si vibaya kujifunza kitu kipya kila siku.
Nikiwa katika kutafuta namna...
Naomba kujulishwa Je, ni muda gani sahihi wa kuweka simu kwenye Power Saver mode?
Je, ni muda wote au ni wakati simu ikikaribia kuisha umeme?
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Je, Google drive ni nini?
Ipo kwa kazi gani?
Inafaa kwa matumizi?
Naomba pia mnipe maelezo ya ziada kuhusu Google Drive.
Kuuliza ili kujua si ujinga, ujinga ni kubaki na kutokujua wakati unaweza...
Habari wakubwa,
Naomba kujua torrents site ambapo nitaweza download movies na games mbali mbali, naona nashidwa kuzipata site nilizozizoea kickass torrents, extratorrents na pirates bay...
Tanzania na Africa kwa ujumla bado tunasua sua kwenye kasi ya maendeleo ya kiteknolojia. Vipaji vingi sana kwenye sector ya teknolojia vinakosa muendelezo na njia sahihi za kupita.
Nadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.