Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa kipindi hiki cha korona ..umekubali truck game game Kafka simu yako Binafsi nakubali sana world truck driving simulater Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
435 Views
Hey, nina blog nimeinunulia domain. ila kuna kampuni nyingi za matangazo ila mimi ninazozifahamu sana ni tatu tu Adsense, Adsterra na Propellerads. Kati ya hayo matatu ipi kampuni nzuri kwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari!. Naomba kutumia nafasi hii kuwataarifu habari njema watu wote wanaopenda music wa injiri(gospel) Tanzania na africa kwa ujumla . Nikiwa kwenye hatua za mwisho kukamilisha platform yetu...
3 Reactions
6 Replies
741 Views
Habari, Mimi nimejisajili na Google AdSense na inekubali, kwenye dashboard yangu ya malipo ni 0% nina maana kwamba hata pale kwenye neno Add Payment Method hapa-view, eti mpaka nifikishe $100 ndio...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwakuwa kupata adsense account inazidi kuwa na milolongo mingi kuna wakati inalazimu watu kutumia adsense account moja kila mmoja anaweka adcodes kwenye site yake. Ukiingia kwenye adsense account...
1 Reactions
1 Replies
534 Views
habari waheshimiwa nina non hosted account ya adsense inauzwa na ishapata barua price ni 100000 maongezi yapo njoo pm tubonge nipo dsm km ukitaka tuonane face to face tufanye busness flesh tu
1 Reactions
7 Replies
946 Views
Kwa wale wataalamu wa haya mambo ya mota za mashine, nataka mnielekeze ntazipata wapi hizi mota s power 15 made in Germany?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau ninampango wa kuchimba kisima,ambaye anajua bei za mota ndogo na kubwa,nipo mikoani nimejaribu kuulizia kwetu hazipatikani.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina miezi miwili toka ninunue simu hii ila inanisumbua kweli kweli. Kuna mda inaweza stuck gafla ikazima. Sasa kubwa zaidi tokea juzi nilisikiliza mziki ikiwa vizuri kuamka asubuhi haitoi tena...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
ndugu zangu leo nimetembelea huu mtandao nikiwa na haja ya kununua vitu kadhaa Ipad na ereader ila ashangaa items nyingi nazo zihitaji naona kuwa seller ha ship to my country wadau kuna njia...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nina miezi miwili toka ninunue simu hii ila inanisumbua kweli kweli. Kuna mda inaweza stuck gafla ikazima. Sasa kubwa zaidi tokea juzi nilisikiliza mziki ikiwa vizuri kuamka asubuhi haitoi tena...
0 Reactions
8 Replies
798 Views
Msaada wakuu nimeflash simu imekataa kuwaka na nikijaribu kuiflash tena inasoma kwenye computer kwa sekunde 3 then inapotea Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
917 Views
Habari wapendwa natumaini mnaendelea vizuri pamoja na challenges za kirusi hiki kinachotesa ulimwengu mzima COVID-19 , Pia ndugu zangu waislamu mnaoendelea na mfungo nawaombea pia. Naenda...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
HELLOW guys Thefreedom hapa karibu sana katika jamvi letu la hacking and security. leo sina story sana ila nimekuja kuwapa taarifa wapenzi wa mpira wanaotumia bikosport TANZANIA kwamba...
5 Reactions
24 Replies
5K Views
Wakuu habari, nina PC yangu aina ya dell optiplex 780 naitumia kwa shughuli za kuingiza nyimbo, movie etc kipindi cha nyuma ikawa haitoi sauti nikahangaika nayo wadau wakanishauri nipige window...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tuwe wawazi, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana namna watu wanavyoeleza juu ya kujifunza programming. Ushauri kwa beginner yeyote yule::=anza kujifunza DATABASE(nipo tayari kutoa msaada kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kuna mtu yeyote ambaye ametumia simu za startimes solar 5 naomba anipatie maelezo kidogo kuhusu ubora wake. Nimeziona zinauzwa vodacom shop Mlimani city kwa 270,000
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Wadau naomba mtu anayejua kulipia ukurasa wa fecebook kwa ajili ya biashara anisaidie ,mimi sina paypal 'wa card yoyote ile.
0 Reactions
4 Replies
834 Views
Wakuu nataka nikasome diploma ya IT University of Dar es salaam Computing Centre evening class. Naomba ushauri wenu wakuu. Nimevutiwa tu kusomea IT. Waliyowahi kusoma hapo vipi nilipe ada au...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi ndugu, Nina tatizo na s pen kwa wanaotumia note 8. Yaan simu haidetect kama kuna s pen, uitoe au uirudishe. Na hata kuandika kwa kioo haikubari. Msaada kwa mwenye idea.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom