Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wazee kuna hii simu, specification zake zianaonekana ziko poa kinoma,ukizingatia bei yake pia ni bomba atari. Naomba kupata uzoefu kwa yeyote ambae anatumia/ameshawahi kutumia hii simu na pia...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari JF leo napenda tujifunze namna ya kutoa write protection kwenye flash. Kwanza lazima tujue nini maana ya write protection, maana yake ni kwamba ni uwezo wa flash au disk kuzuia kuandika...
3 Reactions
19 Replies
6K Views
Lengo la huu uzi ni kutaka msaada kama kuna watu ambao wana ufahamu na uzoefu juu ya biashara za vifaa vya kompyuta. Mimi sio mzoefu wa mambo ya computer hardware. Naomba kujua bei ya power...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
laptop yangu ya hp 620, nikiwasha inaleta maandishi meupe na rangi ya bluescreen, nikizima na kuwasha kama mara 4 hivi,screen haiwaki ila motherboard inawaka. Msaada wataalam.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Nina Laptop yangu aina ya Dell nilikua sijaitumia effective kama miaka 2 hivi, nilikua tu naitoa mara chache chache tu nacheki movie na kuirudisha kwenye begi. Sasa majuzi kuna...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu natumia TV ya kawaida. Baada ya kupitia mambo ya convention kuanzia 780p naandikiwa unsurported format ila 480p ndio inakubali kuonesha lakini scratch nyingi. Nimechomeka kupitia deki na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu?? Mi swali langu Ni sababu zipi zinapelekea simu kuwa ya Moto na nini kinachotakiwa ufanye ili isiwe na condition hiyo.... Note: *Simu Haijafikisha mwezi tangu itoke dukani...
1 Reactions
63 Replies
8K Views
Naomba kufahamishwa zile CODE za kujua kuwa simu yako ya Galaxy iko Orijino haijawahi kufunguliwa wa kubadilishwa kifaa. MSAADA TAFADHALI.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za humu, Naaaam kijana kama kijana yani Mimi kama Mimi nahitaji kununua bidhaa hii Kwa njia ya mtandao je kipi chakuzingatia
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Inaitwa uktvnow ipakue hapa kupitia dropbox Dropbox - UkTVNow_7.0.apk Ila kustream kwake ni vyema ukatumia external player,mx player ndio ipo bomba zaidi
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Hivi vitu vinanichanganya sana mwenye uelewa naomba anisaidie maana kuna jamaa yangu tulisajili line za Airtel siku moja yeye kwenye simu yake inaandika lte kwangu inaandika 4G Simu anayotumia ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Just like video, sound comes in many flavors. Just like video, sound files can have different resolutions, bit-rates, and codecs. For high-end surround-sound configurations beyond 5.1, audio codec...
2 Reactions
0 Replies
913 Views
Good afternoon fellows. Leo nimekuja na hili wazo, sijui mnaona limekaa vp? Unda group la WhatsApp la watu wawili wewe pamoja na rafiki yako mmoja. Name that group PERSONAL DIARY. Kisha...
30 Reactions
75 Replies
13K Views
Naomba kufahamu mambo haya wakuu. 1. Jinsi ya kuifanya post yako katika blog/website ionekane TOP kwenye Google pindi utakapo post? 2. Jinsi ya kupata pageViews wakutosha yaani traffics katika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nadhani kila moja jukwaa hili anajua youtube wanalipa pesa kwa videos zako unazokubali kuwawekea matangazo yao. Hakuna kipimo kimoja ama kilichokuwa fixed kujua malipo ni kiasi gani kwa views...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi nikichukua motor ya 3 phase niakaiweka sehemu alafu umeme huu wa 2 phase yakawaida kwenye ile L(live) nikakata vipande 3 vyenye urefu wa mita moja moja nikavichuna kidogo huku na huku alafu...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu wenye maujuzi na waliosoma Computer Science na Computer Engineering naomba ushauri wenu kati ya hizi kozi ni ipi itakuwa poa sana kusoma na kukupatia kipato cha maana hapa Nchini kwa kujiajr...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni mgeni kwenye hizi simu aina ya SAMSUNG kuna zinazoanzia na S..... zingine A.... mfano S-5 na A30 na nasikia tena kuna A7 ipi kati ya simu hizi ni Bora???
1 Reactions
58 Replies
17K Views
Habari zenu wadau, Natafuta patners wenye interest ya game development kwa kutumia unreal engine au unity tushirikiane katika mambo mbali mbali. Pia, kama unajifunza game dev kwa kutumia...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Mdau mwenye Car Diagnostic Software kwa ajili ya ku-install kwenye PC (Windows OS) anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Back
Top Bottom