Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu natumia Samsung smart tv....But nafeli katika kustream vitu live kwa mfano mpira...Je kuna njia yoyote nyepesi itaweza nisaidia...nimejaribu firstrow sports through web browser but...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wanajamii, samahanini sana. Nilikosea ku edit mwaka kwenye youtube channel yetu sasa hivi inanigomea kuingia Naweza pata msaada wa kuiedit tena ili irudi hewani
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu mimi ni mdau wa mambo ya sayansi lakini nikiri katika vitu nimetumia muda mrefu kuvielewa bila mafanikio basi ni hii kitu inaitwa relativity theories za huyu jamaa anaitwa Einstein Ukianza...
7 Reactions
213 Replies
23K Views
Habari zenu wanaJF, Kama tunavyojua simu ni kifaa ambacho wakati mwingine marekebisho yake ni rahisi sana na wakati mwingine huwa vigumu sana kutatua matatizo yake ambapo humbidi sasa fundi...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Huku uelekeo wa TikTok ukiwa bado haujafahamika, Instagram inatarajia kuchukua baadhi ya mashabiki wa ‘App’ hiyo kupitia ‘App’ yake iitwayo Reels, inayozinduliwa leo katika nchi takriban 50...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za mida wakuu TV yangu ilizima ghafla ikawa haionyeshi chochote nikamplekea fundi kaniambia balb zimeungua, nikanunua mpya zikawekwa, kweli tv ikawaka lakini ndio ivyo ikawa inajichora...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
habari wandugu. naomba wataalamu wanisaidie ni kwann app ya DSTV NOW inagoma kufanya kazi kwenye tv yangu SMART TV INCH32 OULING? pia nisaidiwe kama kuna njia nyingine ya kuitumia kwenye hii TV yangu.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Salam wapendwa. Naomba kujuzwa na wajuzi. Utaratibu wa kusajili hizi blog na website pamoja online TV huko kunakoitwa TCRA. Je, ni aina gani ya blog? (Inayojihusisha na nini?) Je, vipi upande...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ripoti iliyotolewa na Shirika la Canalys imesema Huawei imeipita Samsung kwa mauzo baada ya kuuza simu Milioni 55.8 kati ya Aprili-Juni huku Samsung ikiuza simu Milioni 53.7 Imeelezwa kuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
China kulikua na Iphone nyingi kuliko nchi yoyote Duniani ila sasa Iphone inapoteza nafasi ya kua simu namba moja China. Watumiaji wengi wa Iphone wanahamia Huawei, Iphone inakabiliwa na ushindani...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
The much hyped iPhone went on sale two days ago (Friday) in UK and looks like Britons are just being ******* again by APPLE as usual -Its costing about £270 in UK thats about 565 US...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
for those who regularly visits apple website should have seen the new MAC TV ADS that according to my views this time they have definetly gone too far!! most parts what they say is true..,and...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana, nimepata laptop nataka kutumia whasapp. Mwenye kunielekeza jinsi ya kutumia anielekeze.
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Natumia Huawei Y5 lite, kila nikitaka ku-upload file au picha nakutana na changamoto hiyo, nilijaribu ile option ya ku-uncheck (don't keep activities) kwenye developer option lakini shida bado...
0 Reactions
2 Replies
985 Views
Nataraji mumeamka salama na familia zenu. Wakuu naomba msaada kwa wale wanaojua jinsi ya kuinstall Tv touchscreen (kwa matumizi ya kufundishia) Shukrani Mola awe nanyi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu Huo mstari mkubwa mweusi ulikuwa mdogo miezi miwili iliyopita lakini kadiri siku zilivyozidi ukaendelea kujigawanya na kuwa mkubwa ukiangalia vizuri chini yake kuna mistari mingine midogo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Waungwana naomba mnisaidie jinsi ya ku-logout JamiiForums, mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa msaada tafadhali!
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wadau nipo hapa dsm ninatafuta fundi mzuri wa suzuki hizi new model wengine wanaziita za s kubwa. Ni ya mwaka 2008 . Hawa mafundi wa kawaida wanaziogopa wanasema software/umeme mwingi hivyo...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Siku hizi ni kitu cha kawaida kabisa kukuta vijana wakipita mitaani kutangaza huduma za ttcl broadband na mobile wengine wako na zantel na kampuni zingine zinazotoa huduma ya internet vijana hawa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Tumekuwa tunasikia malalamiko mengi sana kutoka kwa wadau wanaotumia huduma za ttcl mobile na broadband kwamba pesa zao zinaenda sana wakitumia mtandao haswa wale waliounganishwa moja kwa moja...
1 Reactions
18 Replies
9K Views
Back
Top Bottom