Wakuu
Asalam-alleykhum
Leo nikiwa nimetulia kijiwe nimeona ndege kubwa ikiruka anga ya mbali na kuacha michirizi miwili ya moshi mweupe (kuna picha chini).
Kwa kumbukumbu zangu ndege za...
Nahitaji mtu wa kunifundisha kuchora Raman za nyumba, akiwa Dodoma itapendeza zaidi hata popote sawa cha muhimu ni elimu nahitaji #msaada wenu unahitajika
-Iwe ndogo kwa muonekano.
-Yenye uwezo wa kuangalia video Youtube na kwingine bila shida yoyote.
-Kamera yake iwe tamu.
-Yenye uwezo wa kudownload vitu mbalimbali e.g Video, Games, Apps e.t.c...
Nina PC HP ina tatizo la kioo pia window yake inasumbua
1) Naweza kutoa HDD (nishaitoa) nikaweka kwenye Pc nyingine halafu nikInstall window kwenye hiyo HDD, baadae nikairudisha kwenye hiyo PC...
Habari za asubuhi?
Ndugu yangu anapokuwa hewani/kwenye mtandao, nikimpigia tunaongea kama kawaida.
Akiwa nje ya mtandao au kama amefunga simu, ukimpigia simu inapokelewa na mwingine...
JINSI YA KUFUFUA FLASH ZILIZOKUFA
Najuwa raia wengi sana mmejaza flash ambazo ni mbovu majumbani kwenu au kama sio hvyo mmeshatupa flash nyingi sana kisa zimeharibika pasipo kujuwa flash yako...
Wadau wa JamiiForums,
Naomba kujua ni Application gani ninayoniwezesha kuweka point (coordnates) au starting point halafu nitembee iwe kwa miguu au gari hadi point nyingine kisha inaniambia ni...
MB 70, MB 100, MB 200, au MB 300 zinakutosha kwa siku?
Binafsi mimi hazinitoshi, kama na wewe hazikutoshi basi leo nitakuonyesha namna ya kutumia na kupunguza matumizi yako kwa siku. Kwa hali ya...
Habari wanaJF,
Husika na mada hapo juu, kama mnavojua vyuma vimekaza
Naomba mnisaidie jinsi ya kuingia JamiiForums kwa kupitia Freebasics. Je, procedure zake zimekaaje?
‘People think that data is in the cloud, but it’s not. It’s in the ocean.’
How the Internet Travels Across Oceans
The internet consists of tiny bits of code that move around the world...
Habari wajumbe, naomba kama kuna mtu alishafanikiwa ku root nokia 3 TA 1032 kwa kutumia pc au application. nimejaribu kwa muda mrefu sana bila mafanikio
1. Screenshot then zoom.
2. Mimi na wewe tufanye mpango itengenezwe App maalumu ambayo itakufanya u view status ya mtu Bila mhusika kujua kama umeview.
We will make a millions and millions...
Ni ngumu kuepuka color wheel kwani ni rahisi kutumia katika kufanikisha kazi mbalimbali pale tunapokuwa tuna design au tunadevelop wavuti n.k.
Kwa wasiojua color wheel ni box au circle linalo...
Wakubwa habari ya saahizi..
nilikua naomba msaada hapo kwa wajuzi nimepata changamoto kwenye laptop yangu hii..
nilikua nafanya baadhi ya mambo sasa nikaihitaji kurestart mashine ili niizime...
Je, unatengeneza APP au website ambayo itahitaji Bulk SMS / API SMS?
Kama wewe ni mmoja wa Developers wa Website au App na ungependa kutumia mfumo wa API SMS/ Bulk SMS, bado hujachelewa hata...
Ndugu wana Jambo Forums,katika kuhakikisha kuwa kila mutu anakuwa na ufahamu hata kwa kiwango kiduchu nimeamua kuandaa kama kaprogram ambacho kila week nitakuwa nawaleteeni katopic ambacho nina...
Habarini wandugu naulizia kuhusu startimes
Hawa jamaa wanauza antenna zao ghali sana
Hivi nikinunua decoder yao bila hizo antenna zao halafu nikaja kutengeneza ya kwangu tu huku mtaani ya vichuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.