Naomba wataalamu wa ubuntu mnisaidie, niliinstall ubuntu kwenye pc yangu hp pavilion kwa kutumia bootable usb. Kwa sasa nataka kuinstall window kwa kutumia bootable USB.
Nimejaribu mara kadhaa...
Habari za mda huu wajameni, naombeni msaada wenu wa hali na mali, simu yangu nikiingia Instagram nikamfollw mtu inaji unfollow ndani ya kama dakika 1 baadae, ni wapi nakwama au kuna masherti...
Habari wakuu naomba mwenye kufahamu anielekeze jinsi ya kuunganisha smart tv ya TCL inches55 na simu smartphone ya samsung A 20s, maana natumia T-CAST tu kwa mobile hotspot.
Nilikuwa nataka...
Natamani kuona JF kukianzishwa Jukwaa la kushare Ideas. Ninapenda kufikiria Sana na mara nyingi huja na mawazo mazuri tu japo huwezi kusema hayahitaji maboresho.
Lengo la kuanzisha Uzi huu ni...
Watu wa azam tv satellite mnayotumia 7A haifanyikazi channel hazionekani, jaribuni kuangalia connection zenu, watu tumelipia halafuhatupati channel zilizofanya tulipiie
Kama kuna watu wa Azam...
Baada ya kujifunza Python miaka kadhaa iliyo pita nikaona si vibaya nikajaribu web developement!
Na framework zilizokuwa akilini mwangu ni flask na Django! Mwisho wa siku nikaona nijifunze...
Jabari zenu wana jf, naomba kwa mwenye idea ya Excel anisaidie functions zinazoweza kunipa majibu ya swali hili;
Qn;
Fundraiser
The third annual spring term “Care for Critters” fundraiser was a...
Nilibahatika kupata pc Dell Safi tu CoreI 7 Generation ya 3 ..ikiwa na Ram 4GB na 500GB HD... kwa bahati mbaya ilikua na Password kwenye Admin Account so nikawa natumia Guest hivyo kukosa baadhi...
When Mxolosi saw a Tecno W2 smartphone in a store in Johannesburg, South Africa, he was attracted to its looks and functionality. But what really drew him in was the price, roughly $30 — far less...
Ni muda mrefu Sasa, kila niki-search kitu kupitia Google, location ya mahali nilipo ambayo huwa inatolewa na Google wenyewe mwishoni mwa page imekuwa Ni ya kubadilika. Utakuta inaonyesha location...
Habari zenu wakuu
Binafsi sio mtaalamu wa computer, wala sina ujuzi wowote kwenye issues za IT but navutiwa sana na maswala hayo.
Naomba kuuliza, je, naweza kutengeneza android app nikiwa sina...
Habari wakuu.
Nina mpango wa kufanya live streaming ya webcam kwenye Facebook. Kwa hapa Tanzania kuna sheria yoyote kuhusu hili ama natakiwa kupata kibali au kilipia chochote kama ilivyo kwa...
Habarini waungwana,
Rejea mada hapo juu nimeamua kuanzisha huu uzi kuona namna ya kujua ni website ipi ambayo inamilikiwa na Watanzania kwa maana Tanzanian startups
Duniani tumeona Luna website...
Teknolojia ikiwa imechukua nafasi kubwa ya maisha yetu katika kipindi hiki , ni vigumu kupita siku haujatumia applications , search engines , operating systems au kwa ujumla software ambazo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.