Kwa wale wanaohitaji kufahamu kwanini? TV hitachi mjapani huwa inawaka hata kama umeme mdogo chini ya Volt,120 inawaka bila tatzo na kuna wakati inazima mara tu umeme unapo pungua zaidi,Wakati tv...
Habari za mchana natumaini mko poa
Namahani naomba kufaham kitu kuna best yang kaibiwa simu jana jioni na mpaka saivi hiyo simu yake bado inapatikana sasa nilitaka jinsi ya kutrack namba ya simu...
Wakubwa salaam
Nilinunua mabox ya kuflash simu mawili piranha na volcano mwaka 2015, nilikuwa nayatumia vizuri tu bila shida,sasa leo nimepiga window upya yamegoma kutumika na website za Haya...
Kwa wale mnaoendelea kutumia picha kuwa kama icons inatosha sasa, kwa wale wanaotumia icon fonts mjitahidi kufanya ntakayoeleza!.
Hakika inasumbumbua na italeta shida kwenye project yako, endapo...
Wakuu naomba mnisaidie ushauri kuhusu gari ist na golf zote za 2005 ili kukwepa dumping fees, naipenda golf kwa muonekano wako lakini je ni gari ambayo nikitaka kuja kuuza itauzika? Na upatikanaji...
Habarini wakuu,
Nahitaji solar power sustem ambayo naweza Washaia taa mbili hizi za utumbo, na Feni moja na vitu kama Tv na fridge dogo, inshort nina kama master room moja na jiko, kiapartment...
Kampuni ya Microsoft imetangaza kuifuta programu ya Internet Explorer ifikapo tarehe 17 Agosti, 2021 na wavuti ya Microsoft Teams haitafanya kazi na Internet Explorer 11 ambayo ni toleo jipya...
Wadau habar.
Naomba kuuliza hiv katika project za hydroelectric power haiwezekani maji kuyarecycle ili yaendelee kutumika na kulinda vyanzo vingine vya matumiz ya maji?
Hello waungwana, let me tell you bout social media, au vip?
Oky I won't wait for your answer 😅.
Social media imekuja kuondoa mtu wakatikati. Au ww unaonaje, kwasbabu Sasa hivi mteja na biashara...
Wasalaam.
Nina mpango wa kununua simu na kwa sasa options ninazozifikiria ni
1. LG G8 Thinq
2. iPhone X / XS Max / 11
3. Google Pixel 4 XL
Naomba kwa mwenye ujuzi na hizi simu za Google anieleze...
Muda huu mtandao wa YouTube hauwezi kutumia ipo chini sana.lakini unaweza kuangalia sites nyingine bila tatizo lolote na network ipo very strong.
Je, tatizo ni nini? Ni sababu za kisiasa...
Msaada jamani anayefahamu namna ya kuweka off screan overlay.
Kuna baadhi ya apps nikizifungua zinakataa kufunguka inanambia ni turn off overlay nimeitafuta kwenye setting hiyo overlay ili nii...
UTAJIRI WA DUNIA UPO HAPA
Je, unajua kuwa wawekezaji waliowekeza kwenye teknolojia ya mawasiliano wana utajiri mkubwa. Kwenye teknolojia ya Mawasilianao ni kati ya Maeneo nyeti yanayo aminika...
Tujifunze namna ya kutumia SQL katika nyanja mbalimbali za programming.
Any one can be a teacher or a student.
Any tips and tricks is allowed? Any question base on this topic is allowed?
You...
Wale wadau wa game, naona sony wameanza kudhihirisha polepole muonekano wa game yao mpya Ps5 baada ya kuanza na controller yake ambayo wameiita DualSense. Ps5 inatazamiwa kuwekwa sokoni kwa mara...
Zifuatazo ni machine learning algorithms ambazo data scientists (individuals computer professional, corporate employees, and any one interest in AI) anazitumia kutengeneza machine learning models...
*MBINU MOJAWAPO INAYOTUMIKA KWENYE WIZI WA MTANDAO*
Tafadhali, naomba ku-share nanyi mbinu mojawapo inayotumiwa na wahalifu katika kufanikisha wizi kwa njia ya mtandao. Huu ni uzoefu nilioupata...
Naomba kama kuna mtalaamu wa kutumia Twitter naomba msaada.Nikifungua Acc.yangu ya Twitter inanitaka ni Verify namba ya simu iliyopo kwenye acc yangu ya Twitter na kuniandikia ujumbe kuwa nibonye...
Habari wapendwa,
Napenda kujua namna ya kutumia dishi na king'amuzi kimoja ili kisambaze channel katika tv tofauti.
Nataka kila chumba kiweze kupata channel lakini ninadish moja.
Kwa anayefahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.