Kikundi cha hackers wa Anonymous kinadai kuwa wamefanikiwa kuingilia tovuti ya TTCL na kupata data za wafanyakazi 64,000.
Anonymous’ #OpAfrica Claims 64,000 Workers Data of Tanzanian Telecom Firm
Wakuu hawa walioliangamiza Shirika bado wapo TTCL inajiribu kujivuta irudi katika Soko Bado Wanakwamisha tena.
Nilinunua line ya TTCL tarehe 26/4/2017 sasa ilikua ina Ofa Kufikia Tarehe Moja...
Wakuu za mihangaiko,
Naomba kujua ni wapi naweza kupata line za TTCL hasa kwa maeneo ya Kinondoni(Dar es salaam).
Nimeona bando lao jipya nimevutiwa nalo ghafla.
Pia ningependa kujulishwa...
Et waungwana wataalam wa IT, Kuna yeyote anayewajua maprogrammer waliocode jamiiforums?
Tuwajue ili tuwape credit kwa kudevelop platform hii adhimu sana kwa waTZ!
Habari za humu ndani,
Nina king'amuzi cha Azam TV nahitaji niunganishe na Kompyuta mpakato. Kwa anayefahamu namna ya kuunganisha naomba anielekeze
Shukrani.
Habari wadau, wap naweza pata computer ya mkono yaan laptops aina ya LENOVO THINKPAD T490S AU LENOVO THINKPAD L390 AU LENOVO THINKPAD X kwa hapa Tanzania??
Nataka iwe mpya.....pia laptop ipi...
Wakuu nisaidieni, hii simu inanikosesha raha. Tangu niinunue kwa mtu haijawahi kukamata network hata siku moja nikiwa ndani, inakamata nje tu, nje kwenyewe mpaka sehemu za muinuko au miti, sehemu...
Kuna ambae amefanikiwa kupata dream league 2020 maake mimi nimeipata kwenye apkpure lakini inaniomba mpk niidowanlod kwenye play store, kama kuna mwenye maujanja zaidi anisaidie
Sent using Jamii...
Wakubwa,
Natafuta software kwa ajili ya kuhifadhi data zikae kama mafile ya aina zote yakae humor ili siku labda PC vitu vikifutika bahati mbaya ama nikipiga window niitumie hiyo kurestore vitu...
Post iliyo pita nilikuelezea kuwa utajiri mkubwa upo kwa wawekezaji walio wekeza kwenye teknolojia , sikatai kwamba wawekezaji wa kwenye mafuta na Madini na wengine wapo ila tunaona kwenye...
Nimeamua kila nipatapo wasaa kujaribu kusaidia kuelimisha na kushirikisha mawazo wadau mbalimbali juu ya Teknolojia na Biashara, hasa Teknolojia ya Habari na Mawasialiano. So haya na maswali ya...
Nimenunua star x tv lakini nikiunga redio hailii bass, inalia speaker za pembeni tu, nimeangalia kwenye setting za tv nikakuta trebble na bass ziko blinked yaani hazioneshi kufanya kazi
Mwenye...
Kwa wale wanaopenda kuboost account zao za instagram kwa personal uses au biashara unaweza kutumia telegram kutimiza lengo lako.
Pitia hapa kidogo
"
Also known as Telegram Pods, Telegram...
Habarini.
Nina Lg home theatre ya watts 1000. Ilikua nzima kabisa Kwa kila kitu.
Hasa leo nikataka kujaribu kitu ambacho ni kuunganisha redio na pc kutumia waya wa HDMI.
Kwa kweli matokeo yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.